ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Sasa hivi vina husika vip na mvua ? hii JF siku hizi aiseeee, njoo huku Sumbawanga mvua za kutosha, uchawi ni utamaduni sio jambo la kuathiri mvuaUchawi, uganga na mauzauza na kulogana ndio kumejaa hukoo
Sasa hivi vina husika vip na mvua ? hii JF siku hizi aiseeee, njoo huku Sumbawanga mvua za kutosha, uchawi ni utamaduni sio jambo la kuathiri m
Unaweza sema hivyo lkn omba wasipite kwenye ukoo wako maana utajutaSasa hivi vina husika vip na mvua ? hii JF siku hizi aiseeee, njoo huku Sumbawanga mvua za kutosha, uchawi ni utamaduni sio jambo la kuathiri mvua
Uchawi ni tamaduni hauna shida yeyote kwenye mvua, hata huku Sumbawanga ukileta mambo meusi unapigwa SCARDUnaweza sema hivyo lkn omba wasipite kwenye ukoo wako maana utajuta
Lkn uchawi na uganga wa tanga ni kuua mtu bila sababu
Wa huko sio hivyo
ila kweli, ufirauni umezidi, cheki hapa [emoji116]Nchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
mbona hakuna kituila kweli, ufirauni umezidi, cheki hapa [emoji116]View attachment 2585423
Duh.Ufiraji na Usenge Umezidi Tanga Mjini!!!Ombeni TOBA
KWANI MVUA YENYEWE INASEMAJE?Nchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
Mizimu ya mandondoNchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
Nchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
dodoma ro time immemorial huwa haina mvua.... Am I right?Nchi yote inanyesha mvua wapi kaka? Mbona niko dodoma mjini hapa joto na jua kali?
Mbona iko wazi , US na ulaya mvua zina nyesha vizuri wala haina haja ya kufika ili ujue hili jambo, japo huko US na Ulaya ushoga ndio HQ, kwahiyo shida ya Tanga ni uharibifu wa mazingira sio hizo blah blah nyingineUsitake kutuaminisha kuwa wewe umewahi kuishihuko, wewe hata Morogoro tukiacha Tanga haujawahi kufika.
Kumbuka ushenzi huo umetoka arabuniMbona iko wazi , US na ulaya mvua zina nyesha vizuri wala haina haja ya kufika ili ujue hili jambo, japo huko US na Ulaya ushoga ndio HQ, kwahiyo shida ya Tanga ni uharibifu wa mazingira sio hizo blah blah nyingine
Basi mwanafunzi amemzidi mwalimu , waarabu kwasasa wanayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mashoga wa ulaya na USKumbuka ushenzi huo umetoka arabuni