B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 966
- 1,869
Hivi karibuni kumekuwa na hoja kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu muungano , wakisema uvunjwe. mimi kwa maoni yangu nitawapinga. waje waseme ni kipengele gani kwenye muungano wanchoona hakifai kibadilishwe.
Wengi wamekua wakilalamikia
1 Hawataki mtu kutoka zanzibar aruhusiwe au awe Rais au angombee nafasi ya uongozi Tanganyika
2 Ni kwanini Mazanzibari ana ruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika. Na mTanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi zanzibar
Kama hivi ni mojawapo ya vipengele vinavyo leta shida vitatuliwe.
Kama mimi ningekua kiongozi na mwenye maono ya miaka 1000 mbele hio lalamiko la kwanza ningeweka zuio la kutoruhusu mtu kutoka kwenye katika nchi hzo mbili kwenda kuwa kiongozi katika nchi nyingine. MTanganyika aongoze Tanganyika na Mzanzibar aongoze zanzibar
2 lalamiko la 2 . Karume alikuw anatoa kisingizio chs ardhi ya zanzibar ni ndogo hvyo wakiruhus wa Tanganyika waishi na kupata maeneo zanzibar itatokea siku moja kisiwa kita didimia kwani ni kidogo ( clip zpo katafute) Apa mimi ningeruhusu matanganyika aweze kuishi zanzibar na kumiliki ardhi na mzanzibar hvyohvyo ili baada ya miaka 100 mbele zanzibar ibadilike wawepo watu wa makabila mbalimbali kule wasukum, wakurya, wa masai ili kuchuja hii mizizi ya ubaguzi wa kidini ulio huko kwa vizazi vijavyo ILI vizazi vinavyokuja kuzaliwa uko zanzibar visiweze kujitofautisha kua uyu ni mtanganyika na yule ni mzanzibar bali vtote vijitambue kama watanzania
View: https://vm.tiktok.com/ZMAvUb2y4/
UHALISIA
Nchi ya Tanganyika ni kubwa kwa eneo ukilinganisha na zanzibar hvyo kufanya hata nchi hizi 2 zikiungana ni lazima mmoja atanufaika zaidi kuliko mwingine na hivyo kuleta taswira kuwa hamna uwiano wowote wa 50 kwa 50 ysan nusu kwa nusu.
Kutokana na jiorafia za nchi hizi 2 zinategemeana kwani zipo pua na mdomo
Kwa MTanganyika yeyote mwenye uelewa, akili na mwenye uwezo wa kuona miaka 1000 mbele hawezi kusema Muungano uvunjwe.
mTanganyika kwanza wewe ndo unatakiwa kuulilia muungano na kuishika zanzibar Isiende zake. Kwa kutumia mbinu hizi
MFano zanzibar ina Rais wake na viongozi wake .
1 Ni kui hold responsible na accountable kua kila maamuzi makubwa wanayotaka kufanya katika nchi hio lazima waiuhusishe nci ya Tanganyika kwani huend a yakatulete effect huku Tanganyika
2 kuifanya nchi io iwe answerable kwa Tanganyika kwa wao wakiwa na viongozi wao bdo wasiwe na mandatory ya kufanya decision kubwa zitakazo leta inpact pasipo kuishirikisha zanzibar
Ni kung'ang'ania kisiwa icho kama china inavyofanya kwa Taiwan
Mfano tuseme Zanzibar inajitegemea na inaviongozi wake na Tanganyika vivyohivyo.
Siku zanzibar ikaamua kujenga bandari kubwa kwa kuongeza ene lake baharini eaidha kwa kujaza vifusi au njia yeyote ile ili jambo lita affect san Tanganyika kwani kijiografia nchi hzi mbili z zimekarbia na sana na maamuzi aya makubwa ni impact kwa mwingine ndo maana nasema kutokumpa Rais wa zanzibar power au mandatory kubwa kiasi icho na ku mu hold accountable kwa kila maamuzi atakayo fanya lazima Tanganyika ihusishwe na ipitishe maamuzi ayo.
Uenda leo ukaona hawawezi kujaza vifusi baharini na kuongez eneo lao lskini miaka 100 mbele linawez kua jambo dogo sana. Tusiwaachie lazima kuwa hold
Athari zinazoweza kutokea endapo Muungano ukivunjwa na nchi hizi kujitegemea ( kwa maono ya miaka 100 mbele)
1 Udini
Nchi ya zanzibar asilimia 98% ni waislamu ni 2% ni wakristo na madhehebu mengine. ukiangalia wengi wao wana mentarity za udini vichwani
Kuna clip moja ya kitambo kidogo nimekutan nayo jamaa mmoja wa zanzibar anasema " sahivi viongozi wote ni waislamu Nyimwi wa Zanzibar muisla SAa100 nae Muislam ma naibu wao pia dini moja ni kwa Tusishike nchi na kuiamuru iwe ys kiislam na ifate sharia za kiislamu" jambo ili unawez kuliona ni dogo au jamaa alikua anatania lakini ingekua mimi kiongozi ningelichukua na kuangalia mbeleni zaidi.
Tuseme basi zanzibar imejitegemea na ikasnzisha au kupitisha sheria zao kama nchi ya kidini na inayoongozwa na matakwa ya kidini hii italeta effect kwa Tanganyika kwani hatuwezi kujua wala kutabiri huko mbele ni kiongozi gsni stakujs madarakani kwani wanaweza kuanzuisha makundi yao ya JiHad na Al qaid na ikawa hatari kwa Tanganyika kwani ni Kilomita 40 ndo zilizotutenga
(Video hii nimeitafut sana niwawekee ila sijafanikiws kuipata kws atakae kuo amekutana nayo ai upload)
2 Sababu za kiusalama
Kama mnavyojua sahivi kuna mtanange kati ya BRICS na marekani ambapo Brics inajitahidi kutafuta influence africa na kuunga nchi za kiafrika kwenye umoja uwo na kuifanya Dollar hisiwe reserve currency yaani kukataza matumizi ya dollar kama ndo kipimio cha uchumi.
Na hpo Tuseme Tanganyika na zanzibar zinajitegemea na ikatokea Tanganyika ikajiunga BRIcS na Zanzibar ikajiunga na marekani ( ni utabiri tu kwani hatuwezi kujua yanayokuja lakini maamuzi yetu ya sasa yawe na upeo wa kuona mika angalau 100 mbeleni) turudi..
kama mnavyojua Marekani uwa anatabia ya kujenga Military Base katika nchi anazoungana nazo ma zenye maelewano mazuri ya kidiplomasia . Ikatokea wamejenga military base/ kambi ya kijeshi zanzibar na ikumbukwe marekani ina millitary base kenya basi kuimaliza Tanganyika ni sekunde tuu. Tuangalie possibility ya vita uko melleni miaka 1000 baadae
Ikumbukwe zanzibar kijiografia imekaa ki strategic military position
3 Bahari ya Hindi.
Kma mnavyojua Tanganyika inategemewa na nchi kama Congo, rwanda, burundi , uganda na nyingine kwenye kusafirisha miziho yao inayotoka nje ya nchi kupitia bandari ya Dar es salaam.
Nchi ya Uganda imekua ikipata shida na kuingia kwenye hasars kutokana na mambo yanayoendelea katatika nchi hizi zilizo pakana na bahati ya hindi yaani kenya na Tanzanis. Yakitokea maandamano na lock down kenya na Tanzania ni hasara kwa hizi landlocked countries ambazo hazijapakana na bahari.
Unaweza kuchukulia itani au miemuko ya kitendo chs Museveni cha kusema kua ana haki ya umiliki wa bahari ya hindi kwani kama wote tunaishi kwenye ghorofa mwingine anaishi vyumba vya juu vya ghorofa na mwinvine chumba cha chini (ground floor) huwezi kumkataza yule anae ishi juu kua hana mamlaka ya mazingira ya chini ya ghorofa hvohivyo huwezi kumkataza anaeishi chini kua hana mamlaka na sehemu ya juu.
Kauli hio ya Museveni kwangu nimeichukulia sio utani na nikawaza kwa kizazi cha sasa hvi ambacho kinanyimwa haki zao njia pekee ya kudai haki hio ni kwa maandamano hali ambayo huenda ikaleteleza na kuchochea uwepo wa kutokua na maelewano na mtafaruku na hivyo vita kwa hizi landlocked countries kwa nchi zinazo pakana na bahari Au akatokea raisi ambae kapinda Akili akaanzisha vita ya kudai bahari akiungana na nchi nyingine ambazo hazijapakana na badndari.
Hapo sasa tuseme zsnzibar na Tanganyika zimetengana na Kiongozi wa zanzibar awe ambae hajali chchote kuhusu Tanzania anaweza kuhusika na njama yoyote kuiangamiza Tanganyika au kwa kuwapa sehemu ya bahari awa landlocked country ukiangalia Tanganyika ina nufaika sana na biashara ya bandari na usafirishaji
#kaangalie muungano wa china na Taiwan unaweza kufananishwa kama wetu. Unaweza kuona china inalazimisha lakini manufaa ni makubwa
Muungano huu ni sawa na Nchi ya China na kisiwa cha Tiwan ni shughuli zakihistoria, kiusalama, kiuchumi na biahsara, siasa na utambulisho wa nchi zinazo ziweka nchi hizi kuungana
Tamati
Ni lazima mzanzibari ajihisi entittled to Tanganyika na ardhi yake na lazuma mTanganyika ajihisi entittlrd to zanzibar na ardhi yake , kwa kutegemeana kwani ni kilomita 40 ndo zimetutenganisha ni kama pua na mdomo
Ishu ya kua na Raisi mmoja sidhani ka wa zanzibari watakubali hivyo hapana Bali na suggest tuwe na serikali mbili ambapo haitoruhusiwa mtu kutoka nchi nyingine kumuongoza mwenzie kila mtu aongoz na wa kwake lakini linapokoja swala la kufanya maamuzi makubwa hasa kwa Zanzibar ni lazima iishitikishe Tanganyika na kukubaliana ili Muungano huu uwe symbitic.
Ikishindikana basi iundwe iwe serikali 3 ya Tanganyika ya zsnzibar na muungano.
Ningependa sana hii hoja ya ardhi ya zanzibar ni ndogo hvyo wasiruhusiwe wa Tanganyika miliki na kuishi ife. Wa Tanganyika watuhusiwe kumiliki ardhi na kuishi zanzibar hivyohivyo kwa zanzibar wamiliki Tanganyika ili uko mbeleni miaka 100 mbele tumalize hizi tofauti kwani vizazi vitazaliana na kushindwa kutambua tofauti zao na kuishi pamoja kama WaTanzania
Wanao sema muungano uvunjwe waje watuambie ni kipengele gani cha muungano ambacho wanakiona hakiko sawa kirekebishwe na sio kuuvunja na ukitaka kuuvunja uje na hoja zako na uzingatie Uhalisia wa eneo la nchi hizi mbili na madhata na faids zinazoweza kujitokeza miaka 100 mbeleni baada ya muungano kuvunjwa ( short tem effect , long term effect na immidiate effect)
Na kabla ya kuwaza kuvunja muungano kafatilie historia kidogo ya china na Taiwan unapofanya maamuzi ayo
Kumbukizi
View: https://vm.tiktok.com/ZMAvDtTME/