Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,181
- 138,476
Kwanini Mungu anahitaji sadaka?Iwe ya masikini au tajiri?Siko hapa kuleta ligi. Mimi ni mkristo, kuwa mkristo haimaanishi hutakiwi kunifunza au kuuliza. Nauliza nijue ili kuamini zaidi badala ya kuamini juu juu tu.
Sihitaji kujua HOW(jinsi gani) hayo nayajua
Sihitaji kujua references (vyanzo), hivyo navijua. Labda viwe vyanzo vinavyoeleza sababu
Nahitaji kujua sababu, sababu ya Mungu kuhitaji sadaka kutoka kwa masikini. Si masikini hana uwezo anaunga-unga kujikimu? Kwa nini asipokee badala ya kutoa?
Sipo hapa kuleta ligi. Mimi ni mkristo, kuwa mkristo haimaanishi hutakiwi kunifunza au kuuliza. Nauliza nijue ili kuamini zaidi badala ya kuamini juu juu tu.

Umejibu Jinsi(How) ya kutoa sadaka, hujaeleza sababuKwenye suala la sadaka kila mtu hutoa kulingana na alivyokirimiwa...
Hivyo kiwango cha sadaka cha mtu masikini bila shaka tunategemea kitaendana na alichonacho...
Sipo hapa kuleta ligi. Mimi ni mkristo, kuwa mkristo haimaanishi hutakiwi kunifunza au kuuliza. Nauliza nijue ili kuamini zaidi badala ya kuamini juu juu tu.
Sihitaji kujua HOW(jinsi gani) hayo nayajua
Sihitaji kujua references (vyanzo), hivyo navijua. Labda viwe vyanzo vinavyoeleza sababu
Nahitaji kujua sababu, sababu ya Mungu kuhitaji sadaka kutoka kwa masikini. Si masikini hana uwezo anaunga-unga kujikimu? Kwa nini asipokee badala ya kutoa?
Maskini anajiweza angalau labda useme ufakara .. Nahisi hata hekima za waswahili huzijui , ni hivi hata kama uwe tajiri unamsaidia maskini labda kumpa chakula , kuna siku unatakiwa nawe uende kuomba kwake hata fundo la chumvi yaani kidogo , naye atoe ili asifikirie kuhusu mnyonge .Maskini anatoa sadaka ili iweje,alafu wakati huohuo tajiri anaambiwa awasaidie maskini. Inamaana msaada anaopewa masikini anatakiwa pia akautoe sadaka. Na mbaya zaidi Biblia hiyohiyo inazungumza kuwa mwenye nacho huongezewa na asiyekuwa nacho hata hicho kidogo alichonacho hunyang'anywa. tukihoji wanasema Mungu hachunguziki. how come?
huyu Mungu wa kuja na mashua kutoka uzunguni na arabuni sijawahi kumuelewa na kumuamini.Unamzungumzia Mungu yupi? Kama ni Mungu wa kwenye biblia huyo ni Mungu fake aliyewekwa na mabeberu kwa kazi maalumu.
Hata mimi najiuliza kwanini serikali inahitaji kodi zetu wakati yenyewe inamiliki kila kitu.Sipo hapa kuleta ligi. Mimi ni mkristo, kuwa mkristo haimaanishi hutakiwi kunifunza au kuuliza. Nauliza nijue ili kuamini zaidi badala ya kuamini juu juu tu.
Sihitaji kujua HOW(jinsi gani) hayo nayajua
Sihitaji kujua references (vyanzo), hivyo navijua. Labda viwe vyanzo vinavyoeleza sababu
Nahitaji kujua sababu, sababu ya Mungu kuhitaji sadaka kutoka kwa masikini. Si masikini hana uwezo anaunga-unga kujikimu? Kwa nini asipokee badala ya kutoa?
Umejibu Jinsi(How) ya kutoa sadaka, hujaeleza sababu
Hawataki kuelewa πππHayo mambo huwa ni fix tuwafundishe mara ngapi...?
ππππMaskini anatoa sadaka ili iweje,alafu wakati huohuo tajiri anaambiwa awasaidie maskini. Inamaana msaada anaopewa masikini anatakiwa pia akautoe sadaka. Na mbaya zaidi Biblia hiyohiyo inazungumza kuwa mwenye nacho huongezewa na asiyekuwa nacho hata hicho kidogo alichonacho hunyang'anywa. tukihoji wanasema Mungu hachunguziki. how come?