Kwanini mtu anakuwa masikini mpaka kufa?

Joined
Oct 11, 2015
Posts
49
Reaction score
35
HABARI WATANZANIA WAZALENDO

Naamini mabadiliko yangu hayataletwa na kiongozi yeyote bali akili zangu mwenyewe, naamini Yuda angeishia kuingia Jehanamu hatakama ameishi na kutumika na BWANA YESU MWOKOZI WA WENYE MWILI.

MIMI ni mwanasayansi pia mwanafalsafa pia nina mahaba ya nchi yangu tukufu, natambua kuwepo kwa watu wenye hekima, busara na adabu katika group hili pia natambua kuwepo kwa wapumbavu, mbumbumbu, masikini wa akili na matajiri wa matusi, naam hekima inasema acha ngano na magugu yakue pamoja kasha ngano ikikomaa tutaiweka gharani na magugu tutayateketeza kwa moto naam ni HEKIMA YA MKUU WA HEKIMA BWANA YESU KWAMBA WAPUMBAVU NA WENYE HEKIMA WAISHI PAMOJA KISHA WENYE HEKIMA WATAKWENDA MBINGUNI NA WAPUMBAVU JEHANAMU YA MOTO.

Kwakutambua uwepo wa wapumbavu na wenye hekima, kama mtu mwenye hekima najua maneno ya mpumbavu ni matusi na maneno ya mwenye hekima ni maarifa ndio maana wengi wamepata maarifa kupitia post zangu huku wakikerwa na matusi ya wapumbavu, naam kwa mpumbavu hekima ni upumbavu na upumbavu ni hekima.

Hivyo kwasababu nayajua maneno ya mpumbavu kabla hajaongea na pia maneno ya mwenye hekima kabla hajaonge, busara yangu ni kwamba mpumbavu yeyote asikoment chochote katika post yangu lakini mwenye hekima akoment hekima yake na kuwapendeza watu.

Bahati mbaya mpumbavu yoyote hawezi kuelewa hekima, hivyo chochote nitakachopo hakuna mpumbavu yoyote atakayeelewa isipokua kwa mwenye hekima tu naam chemistry inasema "like dissolves like"

Kwamisingi hiyo siko tayari kabisa kumjibu mpumbavu yoyote hata neon moja kwani mpumbavu humshinda kichaa ujinga, naam mpumbavu ni zaidi ya kichaa, naam HERI KICHAA MWENYE AKILI KULIKO MWENYE AKILI KICHAA.

IFUATAYO NI FALSAFA YANGU (HEKIMA) nayo humfaa mwenye hekima tu naam ni chukizo kwa mpumbavu. Hekima n tamu kama asali kwa mwenye hekima na chungu kama nyongo kwa mpumbavu.

Eee mwanafalsa jifunze hekima yangu uelimika na kuhekimika zaidi. Naam ni hekima niliyofundishwa na BWANA MUNGU WA MAJESHI na si mwenye mwili awe yote.

karibu sana uhekimike.

HEKIMA YETU LEO INAKWENDA KUTUFUNDISHA KWANINI WATU NI MASIKINI
Naam mpumbavu ni msikini, masikin si mpumbvu
Mwenye hekima ni tajiri, tajiri si mwenye hekima.

Naomba mpumavu yoyote asishangae kwamba haelewi ni sawa hakuna mpumbavu anayeweza kuelewa hekima duniani naam NIRAHISI SANA GIZA KUTO NURU KULIKO MPUMBAVU KUELEWA HEKIMA.

Naam nirahisi sana kuibeba dunia nzima kwa kidole kidogo cha mwisho kuliko MPUBAVU KUUONA UFALME WA MUNGU.

Naam BIBLIA inasema MUNGU HAWI RADHI NA WAPUMBAVU, Naam neno linasema HATA UMTWANGE MPUMBAVU KWENYE KINU, UPUMBAVU WAKE HAUTA MTOKA, NDIO MAANA MPUMBAVU HAWEZI KUFANIKIWA naam huilaumu serikali kwa umasikini wake mwenyewe na kusema TUNATAKA MABADILIKO MAISHA NI MAGUMU, huamini serikali ndo chanzo cha umasikini wake wakati ni kichwa chake kibovu, naam mwanafunzi mpumbavu humlaumu mwalimu kwa kufeli kwake mwenyewe.

HIKI NI CHAKULA CHA WENYE HEKIMA na SUMU KWA WAPUMBAVU, naam mwenye hekima hukipokea na kushukuru bali mpumbavu hukataa na kulaani.

HEKIMA HII SIJAFUNDISHWA NA MTU NI MUNGU MWENYEWE. JAMANI MUNGU YUPO, SIKU MOJA NITAWAFUNDISHA KWA KUTUMIA SHERIA ZA KISAYANSI NILIZOGUNDUA, ZINA PROVE KISAYANSI MUNGU YUPO, SHETANI YUPO, MBINGU IPO NA MOTO WA JEHANAMU UPO. Haya nayo humfaa mwenye hekima naam mpumbavu huyaona ni kinyesi.

SITAMJIBU MPUMBAVU YEYOTE NITAMJIBU MWENYE HEKIMA YEYOTE.

Naam hata ubadilishe serikali kama serikali ya kichwa chako ni masikini UTAKUFA MASIKINI MPUMBAFU MKUBWA WEWE.

Kwanini watu ni maskini wakati utajiri duniani upo? ni kwasababu vichwa vyao ni maskini ndio maana ni maskini.

Mtu mwenye kichwa maskini hata umpeleke nchi tajiri kiasi gani, atakua maskini, naam mtu mwenye kichwa tajiri hata umpeleke nchi maskini kiasi gani atakua tajiri.

Watanzania wangezaliwa marekani, wangeifanya Marekani Tanzania pia wamarekani wangezaliwa Tanzania wangeifanya Tanzania Marekani.

Naam NYANI AKIHAMA MTI HABADILIKI.

Biligate (tajiri mkubwa) hata angekua nchi gani, angekua Biligate(tajiri mkubwa) naam Matonya (ombaomba) hata angekua nchi gani angekua Matonya(ombaomba).

Kama tatizo ni serikali MBONA SERIKALI YA MAREKANI NI NZURI LAKINI KUNA MASIKINI?

Kama tatizo ni serikali MBONA Serikali ya Tanzania ni masikini lakini Bakhresa ni bilionea mkubwa Africa?

kama tatizo ni kubadili uongozi mbona Kenya wamebadili lakini masikini wapo?

Naam mbumbumbu wote, matahira na wapumbavu ni mtaji wa wanasiasa mafisadi kama fisadi papa, ndio maana huimba na kusema lowasa mabadiliko, mabadiliko lowasa, huamni kua mtu Fulani ataleta mabadiliko katika maisha yao duni, naam fisadi papa huwaeleza kua umasikini wao umesababishwa na serikali naam kwasababu ni mbumbumbu huamini na kuilaumu serikali kwa umasikini wao, naam hata serikali ikibadilka kama kinyonga KICHAA ATAENDELEA KUA KICHWAA.

MIMI KAMA MTAALUM NASEMA KWAMBA MABADILIKO HUANZA KATIKA FIKRA ZAKO, HATA KAMA UTABADILI SERIKALI, KAMA SERIKALI YA KICHWA CHAKO NI MASIKINI UTAKUFA MASIKINI, NDIO MAANA MAREKANI KUNA MASIKINI HATA KAMA NCHI YAO INAONGOZA KWA UCHUMI DUNIANI.

MABADILIKO YA KWELI KATIKA MAISHA YA MTU YATALETWA NA MTU MWENYEWE KWA KUBADILISHA FIKRA ZAKE KUTAFUTA FURSA ZA KUWEKEZA, KUTAFUTA MASOKO, KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAARIFA.

NAAM NDIO MAANA TUNASEMA HAPA KAZI TU.

EE MPUMBAVU HAKUNA MWANASIASA ATAKAYEKUWEKE PESA MFUKONI naam hata tukikupa kiasi gani, kama kichwa chako ni kibovu UTAKUFA MASIKINI. NDIO MAANA WAPUMBAVU, MALOFA HUILAUMU SERIKALI KWA UMASIKINI WAO, WAKATI UMESABABISHWA NA VICHWA VYAO VIBOVU.

Kama tatizo ni serikali mbona bahkresa alikua fundi viatu na sasa anaongoza kwa utajiri Tanzania.

MJINGA HUAMINI KILA JAMBO BALI MWENYE HEKIMA HUANGAILIA JINSI AENENDAVYO.

ASANTE BWANA YESU KWA HEKIMA YAKO, KWAKO IWE UTUKUFU, AMENI
 
UMESEMA UKWELI NA HILI NI TUNDA WAKILITUPIA MAWE NAMI NITAANZISHA UZI.MKUU, NAKUBALIANA NA WEWE KABISA,TENA NAOMBA KUPATA KITABU AU KITINI KUHUSU HILI LA SAYANSI KUDHIBITISHA UWEPO WA MUNGU,SHETANI N.K.Ubarikiwe !
 
Mleta uzi wewe utakuwa ni Mpumbavu namba moja...Wala hauna cha Hekima wala nini..!!

1. Umesema Siasa haiwezi kumletea mtu maendeleo, wakati huohuo usijue kuwa siasa ndiyo imekufanya hata huo uhuru wa kuandika huo UPUMBAVU wako umeupata.

2. Umesema ndio maana mnasema hapa kazi tu. Mmewaajiri watoto kuwa waalimu huku hamuwalipi mishahara tokea mwezi wa 5 watoto ambao wameajiriwa kama waalimu hawapati mishahara sasa hata kama kusema uwajibikaji na kujituma ndio kutakuletea maendeleo, maendeleo yatakuja vipi ikiwa mtu halipwi mishahara yake.

3. Mleta uzi narudia tena wewe Huna cha hekima wala nini, wewe ni mnfiki Kwa kujifanya kukopi baadhi ya mistari ya hekima kutoka kwenye Biblia Takatifu na kuchanganya na siasa kidogo kumnadi Mh Magufuli, Huna lolote jipya na wala Hekima haiko hivyo.

4. Mleta mada unajifanya unatufundisha kwanini watu ni maskini halafu unajifanya eti ni HEKIMA inatufundisha... IVi unaijua hekima wewe?? Unajua vizuri maana ya Hekima wewe..?? Mleta uzi nadiriki kukuita wewe ni Mpumbavu wa kwanza kwani hata kama ungekuwa na Hekima kidogo tu usingeandika huu upuuzi wako hapa.

Unajifanya hujui kwamba umaskini Tanzania unakuwepo kutokana na watu kukosa maarifa ya kutosha..., Elimu duni na mbovu inayotolewa na serikali inafanya watanzania wazidi kutawalika kirahisirahisi....

Mleta mada huna HEKIMA yoyote ni bora ungekaa kimya kwanza mwenye hekima huwa Hajitajitaji ovyo bali watu ndio humtaja kuwa na hekima, kwa mfano The Boss naweza kusema ana chembechembe tu za Hekima kwa mbaaaali kutokana na jinsi anavyowashauri watu mbalimbali na sio kama wewe unavyojitangazia hapa.

Yaani umeniudhi vibaya sana, kujiita eti Una hekima unaijua Hekima wewe...? tena kaa kimya usiskike na wenye HEKIMA.
Embu Mr Analyse nisaidie Mtu mwenye hekima ataweza kujitangaza hadharani kweli kama mleta uzi anavyojigamba hapa...?

Tena unabahati leo nimechokachoka ningekuchambulia madhambi yoooote ya serikali yako nikuoneshe kwamba hata uwe una Juhudi kiasi gani mafanikio ni magumu sana kuyapata chini ya wapiga dili kama hawa walioishika serikali.
 
Nashukuru umempa changamoto nzuri.Nami pia nimeishangaa hekima ya mtoa mada.Hivi hata ufanye kazi kwa bidii usiku na mchana kama serikali haiweki mazingira mazuri utatokaje? Mfano mkulima alime pamba kwa wingi alafu serikali impangie bei huyu mkulima atatoka?
Mi naona asilimia kubwa( si zote) umaskini wetu umesababishwa na wanasiasa hasa wasio wazalendo.
 
Mwandishi Mnafiki tu hana Cha hekima wala Hajui hekima ilivyo anaishia kubwabwaja tu hapa...!!
Inaelekea hajui hekima inampa ruksa mtu hata kukemea maovu, yeye ameishia kuongelea mistari ya kwenye Biblia takatifu.
Anafkiri inatekelezeka kiraisraisi kama anavyofikiria!
 
HABARI WATANZANIA WAZALENDO

Naamini mabadiliko yangu hayataletwa na kiongozi yeyote bali akili zangu mwenyewe, naamini Yuda angeishia kuingia Jehanamu hatakama ameishi na kutumika na BWANA YESU MWOKOZI WA WENYE MWILI.
MIMI ni mwanasayansi pia mwanafalsafa pia nina mahaba ya nchi yangu tukufu, natambua kuwepo kwa watu wenye hekima, busara na adabu katika group hili pia natambua kuwepo kwa wapumbavu, mbumbumbu, masikini wa akili na matajiri wa matusi, naam hekima inasema acha ngano na magugu yakue pamoja kasha ngano ikikomaa tutaiweka gharani na magugu tutayateketeza kwa moto naam ni HEKIMA YA MKUU WA HEKIMA BWANA YESU KWAMBA WAPUMBAVU NA WENYE HEKIMA WAISHI PAMOJA KISHA WENYE HEKIMA WATAKWENDA MBINGUNI NA WAPUMBAVU JEHANAMU YA MOTO.

Kwakutambua uwepo wa wapumbavu na wenye hekima, kama mtu mwenye hekima najua maneno ya mpumbavu ni matusi na maneno ya mwenye hekima ni maarifa ndio maana wengi wamepata maarifa kupitia post zangu huku wakikerwa na matusi ya wapumbavu, naam kwa mpumbavu hekima ni upumbavu na upumbavu ni hekima.
Hivyo kwasababu nayajua maneno ya mpumbavu kabla hajaongea na pia maneno ya mwenye hekima kabla hajaonge, busara yangu ni kwamba mpumbavu yeyote asikoment chochote katika post yangu lakini mwenye hekima akoment hekima yake na kuwapendeza watu.

Bahati mbaya mpumbavu yoyote hawezi kuelewa hekima, hivyo chochote nitakachopo hakuna mpumbavu yoyote atakayeelewa isipokua kwa mwenye hekima tu naam chemistry inasema "like dissolves like"

Kwamisingi hiyo siko tayari kabisa kumjibu mpumbavu yoyote hata neon moja kwani mpumbavu humshinda kichaa ujinga, naam mpumbavu ni zaidi ya kichaa, naam HERI KICHAA MWENYE AKILI KULIKO MWENYE AKILI KICHAA.
IFUATAYO NI FALSAFA YANGU (HEKIMA) nayo humfaa mwenye hekima tu naam ni chukizo kwa mpumbavu. Hekima n tamu kama asali kwa mwenye hekima na chungu kama nyongo kwa mpumbavu.
Eee mwanafalsa jifunze hekima yangu uelimika na kuhekimika zaidi. Naam ni hekima niliyofundishwa na BWANA MUNGU WA MAJESHI na si mwenye mwili awe yote.
karibu sana uhekimike.

HEKIMA YETU LEO INAKWENDA KUTUFUNDISHA KWANINI WATU NI MASIKINI
Naam mpumbavu ni msikini, masikin si mpumbvu
Mwenye hekima ni tajiri, tajiri si mwenye hekima.
Naomba mpumavu yoyote asishangae kwamba haelewi ni sawa hakuna mpumbavu anayeweza kuelewa hekima duniani naam NIRAHISI SANA GIZA KUTO NURU KULIKO MPUMBAVU KUELEWA HEKIMA.
Naam nirahisi sana kuibeba dunia nzima kwa kidole kidogo cha mwisho kuliko MPUBAVU KUUONA UFALME WA MUNGU.
Naam BIBLIA inasema MUNGU HAWI RADHI NA WAPUMBAVU, Naam neno linasema HATA UMTWANGE MPUMBAVU KWENYE KINU, UPUMBAVU WAKE HAUTA MTOKA, NDIO MAANA MPUMBAVU HAWEZI KUFANIKIWA naam huilaumu serikali kwa umasikini wake mwenyewe na kusema TUNATAKA MABADILIKO MAISHA NI MAGUMU, huamini serikali ndo chanzo cha umasikini wake wakati ni kichwa chake kibovu, naam mwanafunzi mpumbavu humlaumu mwalimu kwa kufeli kwake mwenyewe.
HIKI NI CHAKULA CHA WENYE HEKIMA na SUMU KWA WAPUMBAVU, naam mwenye hekima hukipokea na kushukuru bali mpumbavu hukataa na kulaani.
HEKIMA HII SIJAFUNDISHWA NA MTU NI MUNGU MWENYEWE. JAMANI MUNGU YUPO, SIKU MOJA NITAWAFUNDISHA KWA KUTUMIA SHERIA ZA KISAYANSI NILIZOGUNDUA, ZINA PROVE KISAYANSI MUNGU YUPO, SHETANI YUPO, MBINGU IPO NA MOTO WA JEHANAMU UPO. Haya nayo humfaa mwenye hekima naam mpumbavu huyaona ni kinyesi
SITAMJIBU MPUMBAVU YEYOTE NITAMJIBU MWENYE HEKIMA YEYOTE.
Naam hata ubadilishe serikali kama serikali ya kichwa chako ni masikini UTAKUFA MASIKINI MPUMBAFU MKUBWA WEWE.
Kwanini watu ni maskini wakati utajiri duniani upo? ni kwasababu vichwa vyao ni maskini ndio maana ni maskini.
Mtu mwenye kichwa maskini hata umpeleke nchi tajiri kiasi gani, atakua maskini, naam mtu mwenye kichwa tajiri hata umpeleke nchi maskini kiasi gani atakua tajiri.
Watanzania wangezaliwa marekani, wangeifanya Marekani Tanzania pia wamarekani wangezaliwa Tanzania wangeifanya Tanzania Marekani.
Naam NYANI AKIHAMA MTI HABADILIKI.
Biligate (tajiri mkubwa) hata angekua nchi gani, angekua Biligate(tajiri mkubwa) naam Matonya (ombaomba) hata angekua nchi gani angekua Matonya(ombaomba).
Kama tatizo ni serikali MBONA SERIKALI YA MAREKANI NI NZURI LAKINI KUNA MASIKINI?
Kama tatizo ni serikali MBONA Serikali ya Tanzania ni masikini lakini Bakhresa ni bilionea mkubwa Africa?
kama tatizo ni kubadili uongozi mbona Kenya wamebadili lakini masikini wapo???
Naam mbumbumbu wote, matahira na wapumbavu ni mtaji wa wanasiasa mafisadi kama fisadi papa, ndio maana huimba na kusema lowasa mabadiliko, mabadiliko lowasa, huamni kua mtu Fulani ataleta mabadiliko katika maisha yao duni, naam fisadi papa huwaeleza kua umasikini wao umesababishwa na serikali naam kwasababu ni mbumbumbu huamini na kuilaumu serikali kwa umasikini wao, naam hata serikali ikibadilka kama kinyonga KICHAA ATAENDELEA KUA KICHWAA.
MIMI KAMA MTAALUM NASEMA KWAMBA MABADILIKO HUANZA KATIKA FIKRA ZAKO, HATA KAMA UTABADILI SERIKALI, KAMA SERIKALI YA KICHWA CHAKO NI MASIKINI UTAKUFA MASIKINI, NDIO MAANA MAREKANI KUNA MASIKINI HATA KAMA NCHI YAO INAONGOZA KWA UCHUMI DUNIANI.
MABADILIKO YA KWELI KATIKA MAISHA YA MTU YATALETWA NA MTU MWENYEWE KWA KUBADILISHA FIKRA ZAKE KUTAFUTA FURSA ZA KUWEKEZA, KUTAFUTA MASOKO, KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAARIFA.
NAAM NDIO MAANA TUNASEMA HAPA KAZI TU.
EE MPUMBAVU HAKUNA MWANASIASA ATAKAYEKUWEKE PESA MFUKONI naam hata tukikupa kiasi gani, kama kichwa chako ni kibovu UTAKUFA MASIKINI. NDIO MAANA WAPUMBAVU, MALOFA HUILAUMU SERIKALI KWA UMASIKINI WAO, WAKATI UMESABABISHWA NA VICHWA VYAO VIBOVU.
Kama tatizo ni serikali mbona bahkresa alikua fundi viatu na sasa anaongoza kwa utajiri Tanzania.
MJINGA HUAMINI KILA JAMBO BALI MWENYE HEKIMA HUANGAILIA JINSI AENENDAVYO. ASANTE BWANA YESU KWA HEKIMA YAKO, KWAKO IWE UTUKUFU, AMENI

Mkuu, definition ya maneno haya ni ipi ktk hali ya sasa ya Tanzania?.
1)tajiri
2)maskini
3)mpumbavu
4)mwelevu
 
Wewe ndi ujiite una hekima? HUJUI KUWA KUNA UHUSIANO WA MOJA KWA MOJA KATI YA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI NA UMASIKINI WA KIPATO WA WATU WAKE? KWELI WEWE NI MJINGA FIRST CLASS!!

Ngoja nikupe mfano, hivi kuna sababu yoyote ya maana kutuuzia mafuta ya taa SHS 2000 ILI HALI WAO WANANUNUA KWA SHS 150 KWA LITA KWENYE SOKO LA DUNIA? HUKO NI KUTIANA UMASIKINI BILA SABABU. nenda hapo Kenya kaone mafuta ya taa ni shs 800 tu kwa lita kwa hela ya TANZANIA.
 
Ndugu mwandishi kuna haja gani ya kufanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 kama mabadiliko yanaletwa na mtu mwenyewe?

Kwa nini umaskini wetu umeongezeka sana ndani ya miaka 10 iliyopita kuliko kipindi cha nyuma?
Kodi zetu zinapaswa kumhudumia nani?

Nitashukuru kwa ufafanuzi maana naanza kuhisi we ndio mjinga.
 
HABARI WATANZANIA WAZALENDO

Naamini mabadiliko yangu hayataletwa na kiongozi yeyote bali akili zangu mwenyewe, naamini Yuda angeishia kuingia Jehanamu hatakama ameishi na kutumika na BWANA YESU MWOKOZI WA WENYE MWILI.
MIMI ni mwanasayansi pia mwanafalsafa pia nina mahaba ya nchi yangu tukufu, natambua kuwepo kwa watu wenye hekima, busara na adabu katika group hili pia natambua kuwepo kwa wapumbavu, mbumbumbu, masikini wa akili na matajiri wa matusi, naam hekima inasema acha ngano na magugu yakue pamoja kasha ngano ikikomaa tutaiweka gharani na magugu tutayateketeza kwa moto naam ni HEKIMA YA MKUU WA HEKIMA BWANA YESU KWAMBA WAPUMBAVU NA WENYE HEKIMA WAISHI PAMOJA KISHA WENYE HEKIMA WATAKWENDA MBINGUNI NA WAPUMBAVU JEHANAMU YA MOTO.

Kwakutambua uwepo wa wapumbavu na wenye hekima, kama mtu mwenye hekima najua maneno ya mpumbavu ni matusi na maneno ya mwenye hekima ni maarifa ndio maana wengi wamepata maarifa kupitia post zangu huku wakikerwa na matusi ya wapumbavu, naam kwa mpumbavu hekima ni upumbavu na upumbavu ni hekima.
Hivyo kwasababu nayajua maneno ya mpumbavu kabla hajaongea na pia maneno ya mwenye hekima kabla hajaonge, busara yangu ni kwamba mpumbavu yeyote asikoment chochote katika post yangu lakini mwenye hekima akoment hekima yake na kuwapendeza watu.

Bahati mbaya mpumbavu yoyote hawezi kuelewa hekima, hivyo chochote nitakachopo hakuna mpumbavu yoyote atakayeelewa isipokua kwa mwenye hekima tu naam chemistry inasema "like dissolves like"

Kwamisingi hiyo siko tayari kabisa kumjibu mpumbavu yoyote hata neon moja kwani mpumbavu humshinda kichaa ujinga, naam mpumbavu ni zaidi ya kichaa, naam HERI KICHAA MWENYE AKILI KULIKO MWENYE AKILI KICHAA.
IFUATAYO NI FALSAFA YANGU (HEKIMA) nayo humfaa mwenye hekima tu naam ni chukizo kwa mpumbavu. Hekima n tamu kama asali kwa mwenye hekima na chungu kama nyongo kwa mpumbavu.
Eee mwanafalsa jifunze hekima yangu uelimika na kuhekimika zaidi. Naam ni hekima niliyofundishwa na BWANA MUNGU WA MAJESHI na si mwenye mwili awe yote.
karibu sana uhekimike.

HEKIMA YETU LEO INAKWENDA KUTUFUNDISHA KWANINI WATU NI MASIKINI
Naam mpumbavu ni msikini, masikin si mpumbvu
Mwenye hekima ni tajiri, tajiri si mwenye hekima.
Naomba mpumavu yoyote asishangae kwamba haelewi ni sawa hakuna mpumbavu anayeweza kuelewa hekima duniani naam NIRAHISI SANA GIZA KUTO NURU KULIKO MPUMBAVU KUELEWA HEKIMA.
Naam nirahisi sana kuibeba dunia nzima kwa kidole kidogo cha mwisho kuliko MPUBAVU KUUONA UFALME WA MUNGU.
Naam BIBLIA inasema MUNGU HAWI RADHI NA WAPUMBAVU, Naam neno linasema HATA UMTWANGE MPUMBAVU KWENYE KINU, UPUMBAVU WAKE HAUTA MTOKA, NDIO MAANA MPUMBAVU HAWEZI KUFANIKIWA naam huilaumu serikali kwa umasikini wake mwenyewe na kusema TUNATAKA MABADILIKO MAISHA NI MAGUMU, huamini serikali ndo chanzo cha umasikini wake wakati ni kichwa chake kibovu, naam mwanafunzi mpumbavu humlaumu mwalimu kwa kufeli kwake mwenyewe.
HIKI NI CHAKULA CHA WENYE HEKIMA na SUMU KWA WAPUMBAVU, naam mwenye hekima hukipokea na kushukuru bali mpumbavu hukataa na kulaani.
HEKIMA HII SIJAFUNDISHWA NA MTU NI MUNGU MWENYEWE. JAMANI MUNGU YUPO, SIKU MOJA NITAWAFUNDISHA KWA KUTUMIA SHERIA ZA KISAYANSI NILIZOGUNDUA, ZINA PROVE KISAYANSI MUNGU YUPO, SHETANI YUPO, MBINGU IPO NA MOTO WA JEHANAMU UPO. Haya nayo humfaa mwenye hekima naam mpumbavu huyaona ni kinyesi
SITAMJIBU MPUMBAVU YEYOTE NITAMJIBU MWENYE HEKIMA YEYOTE.
Naam hata ubadilishe serikali kama serikali ya kichwa chako ni masikini UTAKUFA MASIKINI MPUMBAFU MKUBWA WEWE.
Kwanini watu ni maskini wakati utajiri duniani upo? ni kwasababu vichwa vyao ni maskini ndio maana ni maskini.
Mtu mwenye kichwa maskini hata umpeleke nchi tajiri kiasi gani, atakua maskini, naam mtu mwenye kichwa tajiri hata umpeleke nchi maskini kiasi gani atakua tajiri.
Watanzania wangezaliwa marekani, wangeifanya Marekani Tanzania pia wamarekani wangezaliwa Tanzania wangeifanya Tanzania Marekani.
Naam NYANI AKIHAMA MTI HABADILIKI.
Biligate (tajiri mkubwa) hata angekua nchi gani, angekua Biligate(tajiri mkubwa) naam Matonya (ombaomba) hata angekua nchi gani angekua Matonya(ombaomba).
Kama tatizo ni serikali MBONA SERIKALI YA MAREKANI NI NZURI LAKINI KUNA MASIKINI?
Kama tatizo ni serikali MBONA Serikali ya Tanzania ni masikini lakini Bakhresa ni bilionea mkubwa Africa?
kama tatizo ni kubadili uongozi mbona Kenya wamebadili lakini masikini wapo???
Naam mbumbumbu wote, matahira na wapumbavu ni mtaji wa wanasiasa mafisadi kama fisadi papa, ndio maana huimba na kusema lowasa mabadiliko, mabadiliko lowasa, huamni kua mtu Fulani ataleta mabadiliko katika maisha yao duni, naam fisadi papa huwaeleza kua umasikini wao umesababishwa na serikali naam kwasababu ni mbumbumbu huamini na kuilaumu serikali kwa umasikini wao, naam hata serikali ikibadilka kama kinyonga KICHAA ATAENDELEA KUA KICHWAA.
MIMI KAMA MTAALUM NASEMA KWAMBA MABADILIKO HUANZA KATIKA FIKRA ZAKO, HATA KAMA UTABADILI SERIKALI, KAMA SERIKALI YA KICHWA CHAKO NI MASIKINI UTAKUFA MASIKINI, NDIO MAANA MAREKANI KUNA MASIKINI HATA KAMA NCHI YAO INAONGOZA KWA UCHUMI DUNIANI.
MABADILIKO YA KWELI KATIKA MAISHA YA MTU YATALETWA NA MTU MWENYEWE KWA KUBADILISHA FIKRA ZAKE KUTAFUTA FURSA ZA KUWEKEZA, KUTAFUTA MASOKO, KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAARIFA.
NAAM NDIO MAANA TUNASEMA HAPA KAZI TU.
EE MPUMBAVU HAKUNA MWANASIASA ATAKAYEKUWEKE PESA MFUKONI naam hata tukikupa kiasi gani, kama kichwa chako ni kibovu UTAKUFA MASIKINI. NDIO MAANA WAPUMBAVU, MALOFA HUILAUMU SERIKALI KWA UMASIKINI WAO, WAKATI UMESABABISHWA NA VICHWA VYAO VIBOVU.
Kama tatizo ni serikali mbona bahkresa alikua fundi viatu na sasa anaongoza kwa utajiri Tanzania.
MJINGA HUAMINI KILA JAMBO BALI MWENYE HEKIMA HUANGAILIA JINSI AENENDAVYO. ASANTE BWANA YESU KWA HEKIMA YAKO, KWAKO IWE UTUKUFU, AMENI

Kwa uandishi huu wewe utakuwa ni Mkapa tu si mwengine!
 
Mleta uzi wewe utakuwa ni Mpumbavu namba moja...Wala hauna cha Hekima wala nini..!!

1. Umesema Siasa haiwezi kumletea mtu maendeleo, wakati huohuo usijue kuwa siasa ndiyo imekufanya hata huo uhuru wa kuandika huo UPUMBAVU wako umeupata.

2. Umesema ndio maana mnasema hapa kazi tu. Mmewaajiri watoto kuwa waalimu huku hamuwalipi mishahara tokea mwezi wa 5 watoto ambao wameajiriwa kama waalimu hawapati mishahara sasa hata kama kusema uwajibikaji na kujituma ndio kutakuletea maendeleo, maendeleo yatakuja vipi ikiwa mtu halipwi mishahara yake.

3. Mleta uzi narudia tena wewe Huna cha hekima wala nini, wewe ni mnfiki Kwa kujifanya kukopi baadhi ya mistari ya hekima kutoka kwenye Biblia Takatifu na kuchanganya na siasa kidogo kumnadi Mh Magufuli, Huna lolote jipya na wala Hekima haiko hivyo.

4. Mleta mada unajifanya unatufundisha kwanini watu ni maskini halafu unajifanya eti ni HEKIMA inatufundisha... IVi unaijua hekima wewe?? Unajua vizuri maana ya Hekima wewe..?? Mleta uzi nadiriki kukuita wewe ni Mpumbavu wa kwanza kwani hata kama ungekuwa na Hekima kidogo tu usingeandika huu upuuzi wako hapa.

Unajifanya hujui kwamba umaskini Tanzania unakuwepo kutokana na watu kukosa maarifa ya kutosha..., Elimu duni na mbovu inayotolewa na serikali inafanya watanzania wazidi kutawalika kirahisirahisi....

Mleta mada huna HEKIMA yoyote ni bora ungekaa kimya kwanza mwenye hekima huwa Hajitajitaji ovyo bali watu ndio humtaja kuwa na hekima, kwa mfano The Boss naweza kusema ana chembechembe tu za Hekima kwa mbaaaali kutokana na jinsi anavyowashauri watu mbalimbali na sio kama wewe unavyojitangazia hapa.

Yaani umeniudhi vibaya sana, kujiita eti Una hekima unaijua Hekima wewe...? tena kaa kimya usiskike na wenye HEKIMA.
Embu Mr Analyse nisaidie Mtu mwenye hekima ataweza kujitangaza hadharani kweli kama mleta uzi anavyojigamba hapa...?

Tena unabahati leo nimechokachoka ningekuchambulia madhambi yoooote ya serikali yako nikuoneshe kwamba hata uwe una Juhudi kiasi gani mafanikio ni magumu sana kuyapata chini ya wapiga dili kama hawa walioishika serikali.

unajua wengine wakishapata bia za bure na nyama za kuchoma za bure na T-shirt ya kijani huwa akili wamemkopesha Pombe na Kinana
 
Wizi mtupu kwanamna hiyo mabadiliko yatampita mtoa mada
 
Laana, uhaba wa rasilimali, ulevi kupindukia, uzinzi kupindukia, uvivu na kutotimiza wa jibu ndio chanzo cha umasikini.
 
Wachagga wapo tayari hata kuuwa ili wawe na mali hawaelewi kwamba mali isiyo ya halali si utajiri ni mtihani mkubwa sana.

Hawaoni watu na utajiri wao usio wa halali wanavyojinyea hovyo? Ni mfano mdogo tu.

Mwambie huyo anaejinyea aende akajitibu na huo utajiri wa haramu uone kama atapata tiba. Watu kama hao huwa hawaponi na hawafi haraka, mali ya haramu huwa ni moto wao duniani. Badala ya mali kuwatumikia wao wanaitumikia.
 
Mtoa mada ni mfunyu sana wa kufikiri,pamoja na tambo na mbwembwe zako nyingi kujiita majina yaliyotukuka lakini huna akili.
Ulilifahamu lankutokuwa na akili safi muda mrefu ndiyo maana muda mwingi umetumia kujitetea usitukanwe,lakini umekosa fikra,hekinma na busara.
Japo FAIZA FOXY kwa kugundua mapungufu yako katika kutofautisha,amekusaidia kujua kuwa kuna utajili halali na wa wizi,ama kwa makusudi,papara au kutojua kueleza pamoja"u-ganga"uliojitanabaisha kuwa nao lakini ulishindwa kulinena hilo.
Serikali yeyote duniani huishi kwa kodi za wananchi waliotengenezewa FURSA na kuzalisha kipato halali na kutoka humo ndiyo hukusanya kodi,kama imeshindwa kufanya hivyo,wapi mtu anaweza kuwa tajiri bila kufisidi?
Kuna uhusiano wa karibu na maoja kwa moja kati ya utajiri na,au umasikini wa watu na juhuhudia au udhaifu wa serikali yao katika kujineemesha kwa fursa zinazopatikana katika nchi husika.
Na hapo ndipo siasa safi na uongozi bora unapohusika
NAKUITA TENA Prof.MPUMBAVU
 
Kama ndivo hivo maanake kwa wapumbavu hakuna maana kubaki na ccm kwasasbau wao wameandikiwa umasikini milele na mleta uzi sasa kama umeumwa na kunguni sana si ni bora ulalia msala mwingine japo una kunguni mwak huu tumeambiwa ni wa kubadilisha serikali. Ccm sahau ngano zenu mmeula wa chuya. Wapumbavu na malofa wameshituka
 
Kingunge:uchumi wetu umekua stagnant kwa miaka kumi,ndo mana sishangai kama unafanya biashara mtaji haukui unategemea nn?ni umaskini kwenda mbele
 
UMESEMA UKWELI NA HILI NI TUNDA WAKILITUPIA MAWE NAMI NITAANZISHA UZI.MKUU, NAKUBALIANA NA WEWE KABISA,TENA NAOMBA KUPATA KITABU AU KITINI KUHUSU HILI LA SAYANSI KUDHIBITISHA UWEPO WA MUNGU,SHETANI N.K.Ubarikiwe !
VEMA................SIKU ZA USONI NITAKITOA KITABU HICHO. LAKINI KWASASA NAENDELEA KUTOA ELIMU YANGU BURE KUPITIA FACEBOOK. AKAUNTI YANGU YA FACEBOOK NI JOACHIM MAHANGA............PITIA POST ZANGU..........KUNASHERIA YA KISAYANSI INAITWA JOACHIM FIRST LAW OF SYSTEM HII INATHIBITISHA UWEPO WA MUNGU, SHETANI, N.K NITUMIE FRIEND REQUEST, USOME POST ZANGU FB UTAJIFUNZA MENGI SANA. NATARAJIA KUANDIKA KWA KINA KUTHIBITISHA UWEPO WA MUNGU KISAYANSI KWA KUTUMIA SHERIA NILIZOGUNDUA ZA KISAYANSI. KARIBU SANA.........................DUNIANI KUNA WATU WAWILI TU, MPUMBAVU NA MWENYE HEKIMA............KAZANA KUWA MWENYE HEKIMA..................UTAFANIKIWA..................MPUMBAVU NI MTU ANAYEPINGA UKWELI KWASABABU UNAMNYIMA RAHA AU UNAMUUMIZA.......LAKINI MWENYE HEKIMA NI MTU ANAYEKUBALI UKWELI HATA KAMA UNAMUUMIZA................NIFATE FACEBOOK..............NAENDELE KUTOA ELIMU......INGAWA KUHUSU UWEPO WA MUNGU SIJAFUNDISHA BADO, NATARAJIA SIKU ZA USONI NITAFUNDISHA........LAKINI UKITUMIA AKILI UNAWEZA KUJUA KUA NI KWELI KISAYANSI MUNGU YUPO. SHERIA YANGU YA KISAYANSI INASEMA "ANY SYSTEM IS CONTROLLED BY ITS CONTROL CENTER".......NOW WHO IS THE CONTROL CENTER OF SOLAR SYSTEM? WHO IS THE CONTROL CENTER OF ECOSYSTEM?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom