Kwanini mtu anakuwa masikini mpaka kufa?

UMESEMA UKWELI NA HILI NI TUNDA WAKILITUPIA MAWE NAMI NITAANZISHA UZI.MKUU, NAKUBALIANA NA WEWE KABISA,TENA NAOMBA KUPATA KITABU AU KITINI KUHUSU HILI LA SAYANSI KUDHIBITISHA UWEPO WA MUNGU,SHETANI N.K.Ubarikiwe !
akili na upeo wako una kikomo.....ndio maana umekubali kiwepesi kabisa
 
Mleta uzi wewe utakuwa ni Mpumbavu namba moja...Wala hauna cha Hekima wala nini..!!

1. Umesema Siasa haiwezi kumletea mtu maendeleo, wakati huohuo usijue kuwa siasa ndiyo imekufanya hata huo uhuru wa kuandika huo UPUMBAVU wako umeupata.

2. Umesema ndio maana mnasema hapa kazi tu. Mmewaajiri watoto kuwa waalimu huku hamuwalipi mishahara tokea mwezi wa 5 watoto ambao wameajiriwa kama waalimu hawapati mishahara sasa hata kama kusema uwajibikaji na kujituma ndio kutakuletea maendeleo, maendeleo yatakuja vipi ikiwa mtu halipwi mishahara yake.

3. Mleta uzi narudia tena wewe Huna cha hekima wala nini, wewe ni mnfiki Kwa kujifanya kukopi baadhi ya mistari ya hekima kutoka kwenye Biblia Takatifu na kuchanganya na siasa kidogo kumnadi Mh Magufuli, Huna lolote jipya na wala Hekima haiko hivyo.

4. Mleta mada unajifanya unatufundisha kwanini watu ni maskini halafu unajifanya eti ni HEKIMA inatufundisha... IVi unaijua hekima wewe?? Unajua vizuri maana ya Hekima wewe..?? Mleta uzi nadiriki kukuita wewe ni Mpumbavu wa kwanza kwani hata kama ungekuwa na Hekima kidogo tu usingeandika huu upuuzi wako hapa.

Unajifanya hujui kwamba umaskini Tanzania unakuwepo kutokana na watu kukosa maarifa ya kutosha..., Elimu duni na mbovu inayotolewa na serikali inafanya watanzania wazidi kutawalika kirahisirahisi....

Mleta mada huna HEKIMA yoyote ni bora ungekaa kimya kwanza mwenye hekima huwa Hajitajitaji ovyo bali watu ndio humtaja kuwa na hekima, kwa mfano The Boss naweza kusema ana chembechembe tu za Hekima kwa mbaaaali kutokana na jinsi anavyowashauri watu mbalimbali na sio kama wewe unavyojitangazia hapa.

Yaani umeniudhi vibaya sana, kujiita eti Una hekima unaijua Hekima wewe...? tena kaa kimya usiskike na wenye HEKIMA.
Embu Mr Analyse nisaidie Mtu mwenye hekima ataweza kujitangaza hadharani kweli kama mleta uzi anavyojigamba hapa...?

Tena unabahati leo nimechokachoka ningekuchambulia madhambi yoooote ya serikali yako nikuoneshe kwamba hata uwe una Juhudi kiasi gani mafanikio ni magumu sana kuyapata chini ya wapiga dili kama hawa walioishika serikali.
hekima hutoka kwa mungu na haifundishwi na ndio maana hakunaga shule za hekima nilitarajia mleta uzi atazungumzia maswala ya msingi kwanini watu wanakufa maskini nashangaa kuona anamzungumzia lowassa... anajitoa ufahamu kana kwamaba hajui mawazo ya watanzania yameminywa na mfumo wa elimu duni na rushwa iliyokithiri katika hao anaowaita matajiri angewachanganua ni wangapi wamepata utajiri kihalali pasipo kulipa kodi......aache ushoga wa kuwazungumzia wamarekani wanaothamini kodi....umasikini wa watanzania ni mfumo mbovu wa kikatiba na urasimu wa kipumbavu leo hii kijana ana kipaji hathaminiwi na hiyo serikali yake ya kishetani anayoisema ni ya hapa kazi tu khaaa jamaa amenikera alafu unaweza ukakuta ni jitu lililokulia kwenye maisha ya ubwayenye
 
HABARI WATANZANIA WAZALENDO

Naamini mabadiliko yangu hayataletwa na kiongozi yeyote bali akili zangu mwenyewe, naamini Yuda angeishia kuingia Jehanamu hatakama ameishi na kutumika na BWANA YESU MWOKOZI WA WENYE MWILI.

MIMI ni mwanasayansi pia mwanafalsafa pia nina mahaba ya nchi yangu tukufu, natambua kuwepo kwa watu wenye hekima, busara na adabu katika group hili pia natambua kuwepo kwa wapumbavu, mbumbumbu, masikini wa akili na matajiri wa matusi, naam hekima inasema acha ngano na magugu yakue pamoja kasha ngano ikikomaa tutaiweka gharani na magugu tutayateketeza kwa moto naam ni HEKIMA YA MKUU WA HEKIMA BWANA YESU KWAMBA WAPUMBAVU NA WENYE HEKIMA WAISHI PAMOJA KISHA WENYE HEKIMA WATAKWENDA MBINGUNI NA WAPUMBAVU JEHANAMU YA MOTO.

Kwakutambua uwepo wa wapumbavu na wenye hekima, kama mtu mwenye hekima najua maneno ya mpumbavu ni matusi na maneno ya mwenye hekima ni maarifa ndio maana wengi wamepata maarifa kupitia post zangu huku wakikerwa na matusi ya wapumbavu, naam kwa mpumbavu hekima ni upumbavu na upumbavu ni hekima.

Hivyo kwasababu nayajua maneno ya mpumbavu kabla hajaongea na pia maneno ya mwenye hekima kabla hajaonge, busara yangu ni kwamba mpumbavu yeyote asikoment chochote katika post yangu lakini mwenye hekima akoment hekima yake na kuwapendeza watu.

Bahati mbaya mpumbavu yoyote hawezi kuelewa hekima, hivyo chochote nitakachopo hakuna mpumbavu yoyote atakayeelewa isipokua kwa mwenye hekima tu naam chemistry inasema "like dissolves like"

Kwamisingi hiyo siko tayari kabisa kumjibu mpumbavu yoyote hata neon moja kwani mpumbavu humshinda kichaa ujinga, naam mpumbavu ni zaidi ya kichaa, naam HERI KICHAA MWENYE AKILI KULIKO MWENYE AKILI KICHAA.

IFUATAYO NI FALSAFA YANGU (HEKIMA) nayo humfaa mwenye hekima tu naam ni chukizo kwa mpumbavu. Hekima n tamu kama asali kwa mwenye hekima na chungu kama nyongo kwa mpumbavu.

Eee mwanafalsa jifunze hekima yangu uelimika na kuhekimika zaidi. Naam ni hekima niliyofundishwa na BWANA MUNGU WA MAJESHI na si mwenye mwili awe yote.

karibu sana uhekimike.

HEKIMA YETU LEO INAKWENDA KUTUFUNDISHA KWANINI WATU NI MASIKINI
Naam mpumbavu ni msikini, masikin si mpumbvu
Mwenye hekima ni tajiri, tajiri si mwenye hekima.

Naomba mpumavu yoyote asishangae kwamba haelewi ni sawa hakuna mpumbavu anayeweza kuelewa hekima duniani naam NIRAHISI SANA GIZA KUTO NURU KULIKO MPUMBAVU KUELEWA HEKIMA.

Naam nirahisi sana kuibeba dunia nzima kwa kidole kidogo cha mwisho kuliko MPUBAVU KUUONA UFALME WA MUNGU.

Naam BIBLIA inasema MUNGU HAWI RADHI NA WAPUMBAVU, Naam neno linasema HATA UMTWANGE MPUMBAVU KWENYE KINU, UPUMBAVU WAKE HAUTA MTOKA, NDIO MAANA MPUMBAVU HAWEZI KUFANIKIWA naam huilaumu serikali kwa umasikini wake mwenyewe na kusema TUNATAKA MABADILIKO MAISHA NI MAGUMU, huamini serikali ndo chanzo cha umasikini wake wakati ni kichwa chake kibovu, naam mwanafunzi mpumbavu humlaumu mwalimu kwa kufeli kwake mwenyewe.

HIKI NI CHAKULA CHA WENYE HEKIMA na SUMU KWA WAPUMBAVU, naam mwenye hekima hukipokea na kushukuru bali mpumbavu hukataa na kulaani.

HEKIMA HII SIJAFUNDISHWA NA MTU NI MUNGU MWENYEWE. JAMANI MUNGU YUPO, SIKU MOJA NITAWAFUNDISHA KWA KUTUMIA SHERIA ZA KISAYANSI NILIZOGUNDUA, ZINA PROVE KISAYANSI MUNGU YUPO, SHETANI YUPO, MBINGU IPO NA MOTO WA JEHANAMU UPO. Haya nayo humfaa mwenye hekima naam mpumbavu huyaona ni kinyesi.

SITAMJIBU MPUMBAVU YEYOTE NITAMJIBU MWENYE HEKIMA YEYOTE.

Naam hata ubadilishe serikali kama serikali ya kichwa chako ni masikini UTAKUFA MASIKINI MPUMBAFU MKUBWA WEWE.

Kwanini watu ni maskini wakati utajiri duniani upo? ni kwasababu vichwa vyao ni maskini ndio maana ni maskini.

Mtu mwenye kichwa maskini hata umpeleke nchi tajiri kiasi gani, atakua maskini, naam mtu mwenye kichwa tajiri hata umpeleke nchi maskini kiasi gani atakua tajiri.

Watanzania wangezaliwa marekani, wangeifanya Marekani Tanzania pia wamarekani wangezaliwa Tanzania wangeifanya Tanzania Marekani.

Naam NYANI AKIHAMA MTI HABADILIKI.

Biligate (tajiri mkubwa) hata angekua nchi gani, angekua Biligate(tajiri mkubwa) naam Matonya (ombaomba) hata angekua nchi gani angekua Matonya(ombaomba).

Kama tatizo ni serikali MBONA SERIKALI YA MAREKANI NI NZURI LAKINI KUNA MASIKINI?

Kama tatizo ni serikali MBONA Serikali ya Tanzania ni masikini lakini Bakhresa ni bilionea mkubwa Africa?

kama tatizo ni kubadili uongozi mbona Kenya wamebadili lakini masikini wapo?

Naam mbumbumbu wote, matahira na wapumbavu ni mtaji wa wanasiasa mafisadi kama fisadi papa, ndio maana huimba na kusema lowasa mabadiliko, mabadiliko lowasa, huamni kua mtu Fulani ataleta mabadiliko katika maisha yao duni, naam fisadi papa huwaeleza kua umasikini wao umesababishwa na serikali naam kwasababu ni mbumbumbu huamini na kuilaumu serikali kwa umasikini wao, naam hata serikali ikibadilka kama kinyonga KICHAA ATAENDELEA KUA KICHWAA.

MIMI KAMA MTAALUM NASEMA KWAMBA MABADILIKO HUANZA KATIKA FIKRA ZAKO, HATA KAMA UTABADILI SERIKALI, KAMA SERIKALI YA KICHWA CHAKO NI MASIKINI UTAKUFA MASIKINI, NDIO MAANA MAREKANI KUNA MASIKINI HATA KAMA NCHI YAO INAONGOZA KWA UCHUMI DUNIANI.

MABADILIKO YA KWELI KATIKA MAISHA YA MTU YATALETWA NA MTU MWENYEWE KWA KUBADILISHA FIKRA ZAKE KUTAFUTA FURSA ZA KUWEKEZA, KUTAFUTA MASOKO, KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAARIFA.

NAAM NDIO MAANA TUNASEMA HAPA KAZI TU.

EE MPUMBAVU HAKUNA MWANASIASA ATAKAYEKUWEKE PESA MFUKONI naam hata tukikupa kiasi gani, kama kichwa chako ni kibovu UTAKUFA MASIKINI. NDIO MAANA WAPUMBAVU, MALOFA HUILAUMU SERIKALI KWA UMASIKINI WAO, WAKATI UMESABABISHWA NA VICHWA VYAO VIBOVU.

Kama tatizo ni serikali mbona bahkresa alikua fundi viatu na sasa anaongoza kwa utajiri Tanzania.

MJINGA HUAMINI KILA JAMBO BALI MWENYE HEKIMA HUANGAILIA JINSI AENENDAVYO.

ASANTE BWANA YESU KWA HEKIMA YAKO, KWAKO IWE UTUKUFU, AMENI

haya ni mawazo ya mpumbavu katika kilele cha upumbavu wake.
 
Um
Mleta uzi wewe utakuwa ni Mpumbavu namba moja...Wala hauna cha Hekima wala nini..!!

1. Umesema Siasa haiwezi kumletea mtu maendeleo, wakati huohuo usijue kuwa siasa ndiyo imekufanya hata huo uhuru wa kuandika huo UPUMBAVU wako umeupata.

2. Umesema ndio maana mnasema hapa kazi tu. Mmewaajiri watoto kuwa waalimu huku hamuwalipi mishahara tokea mwezi wa 5 watoto ambao wameajiriwa kama waalimu hawapati mishahara sasa hata kama kusema uwajibikaji na kujituma ndio kutakuletea maendeleo, maendeleo yatakuja vipi ikiwa mtu halipwi mishahara yake.

3. Mleta uzi narudia tena wewe Huna cha hekima wala nini, wewe ni mnfiki Kwa kujifanya kukopi baadhi ya mistari ya hekima kutoka kwenye Biblia Takatifu na kuchanganya na siasa kidogo kumnadi Mh Magufuli, Huna lolote jipya na wala Hekima haiko hivyo.

4. Mleta mada unajifanya unatufundisha kwanini watu ni maskini halafu unajifanya eti ni HEKIMA inatufundisha... IVi unaijua hekima wewe?? Unajua vizuri maana ya Hekima wewe..?? Mleta uzi nadiriki kukuita wewe ni Mpumbavu wa kwanza kwani hata kama ungekuwa na Hekima kidogo tu usingeandika huu upuuzi wako hapa.

Unajifanya hujui kwamba umaskini Tanzania unakuwepo kutokana na watu kukosa maarifa ya kutosha..., Elimu duni na mbovu inayotolewa na serikali inafanya watanzania wazidi kutawalika kirahisirahisi....

Mleta mada huna HEKIMA yoyote ni bora ungekaa kimya kwanza mwenye hekima huwa Hajitajitaji ovyo bali watu ndio humtaja kuwa na hekima, kwa mfano The Boss naweza kusema ana chembechembe tu za Hekima kwa mbaaaali kutokana na jinsi anavyowashauri watu mbalimbali na sio kama wewe unavyojitangazia hapa.

Yaani umeniudhi vibaya sana, kujiita eti Una hekima unaijua Hekima wewe...? tena kaa kimya usiskike na wenye HEKIMA.
Embu Mr Analyse nisaidie Mtu mwenye hekima ataweza kujitangaza hadharani kweli kama mleta uzi anavyojigamba hapa...?

Tena unabahati leo nimechokachoka ningekuchambulia madhambi yoooote ya serikali yako nikuoneshe kwamba hata uwe una Juhudi kiasi gani mafanikio ni magumu sana kuyapata chini ya wapiga dili kama hawa walioishika serikali.

Umemjibu vizuri,,, yeye mwenyewe anaonekana Hana hekima kwa 100%,,,,
 
WATU TUNAKUA MATAJIRI KWASABABU TUNAUTAJIRI VICHWANI MWETU. MTABAKI KUA MASKINI KWASABABU MNA UMASIKINI VICHWANI MWETU......NI MUNGU ANAYEIFANYA CCM IONGOZE AU NI......?!!!……………!!!……?"(@)"......KAMA NCHI NI YA MUNGU BASI!!…HAPA KAZI TU!!!
 
UMESEMA UKWELI NA HILI NI TUNDA WAKILITUPIA MAWE NAMI NITAANZISHA UZI.MKUU, NAKUBALIANA NA WEWE KABISA,TENA NAOMBA KUPATA KITABU AU KITINI KUHUSU HILI LA SAYANSI KUDHIBITISHA UWEPO WA MUNGU,SHETANI N.K.Ubarikiwe !
0766 386 872. NITAFUTE
 
Back
Top Bottom