kwanini mtu akipata hela!

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Kwanini mtu akipata Pesa lazima atembee Mikono kaitanua kama anataka kupaa au ana Jipu kwapani. Kuna uhusiano gani kati ya fedha na mikono kutanuka.
 
Mimi nimepata hela lakini sina majipu wala sitaki kupaa!!:embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Watu wa hivyo wanasumbuliwa na ugeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…