kwanini mtoto akizaliwa mwezi wa saba anapona? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini mtoto akizaliwa mwezi wa saba anapona?

Discussion in 'JF Doctor' started by Ninliy, Jan 13, 2012.

 1. N

  Ninliy Senior Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nauliza swali jamani kwanini mtoto akizaliwa akiwa na miezi saba anapona lakini akizaliwa mwezi wa nane anafariki?naomba kujibiwa kisayansi zaidi.
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,363
  Likes Received: 6,701
  Trophy Points: 280
  niliwahi kusikia kuwa mtoto anapokuwa tumboni hu-alternate mfumo wa chakula,mwezi mmoja anakuwa anatumia chakula cha mama yake na unaofuata anatumia alicho jihifadhia!that is why mwezi wa saba atasavaivu na wa nane atakufa!mwezi wa saba anakuwa hamtegemei mama yake ili hali mwezi wa 8 anamtegemea mama yake na wakati huo akijitunzia chakula cha kutokea mwezi wa tisa!!!du maaelezo marefu sijui kama umenielewa!!!sijawahi kuwa mwalimu eti!!!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Swalilako zuri, lakini kuna thread kule kwa celebrity umemtukana mwanamuziki Mkongwe Bi Kidude SANA!
  Kama ni mtu makini ukaedit ile thread, maana imekupa image mbaya sana kwa jamii ya JF!...binfsi umeniudhi kabisa!
   
 4. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Mkuu una hasira nae vby ! Umemfuata hadi huku ?! Mwenzio alikuja kujificha ati !!...lol.
   
Loading...