Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Watumishi wa umma wengi ni maskini kabisa na huwa wanastaafu maskini kiasi cha kusababisha msongo wa mawazo na kufa mapema.
NUnakuta mtu anaishi kwa mshahara tu miaka nenda rudi bila kuanzisha kaproject kokote ka kunogesha maisha.
Unaweza kulima au kufuga hata tukuku vikakusaidia. Mtu hata kibanda hana , hata genge la nyanya hana.
N mshahara ukitoka siku 2 tu umeshaisha. Ikifika tarehe 10 watu huishi maisha ya kuganga ganga njaa sana.
Watu wamekuwa waoga sana katika kuwa na mradi.
Kopa fanya miradi upate pesa zaidi.
Si
Sijui kwa nn mshahara wa serikali unaishaga mapema sana.