Mkubwa hayo Maamuzi binafsi sana Mbona huwaambii hawa masharobaro wasinyoe viduku.....kikubwa misimamo yake anataka kufeel nature...,Mbona mapadre wakapuchini Moja ya sheria zao ni kutovaa viatu bana..mi naheshimu maamuzi yake

Kweli kuna vitu ni maamuzi binafsi ila is stupid kutokuvaa viatu sababu mjini hatari za magonjwa ni nyingi viwembe vimetupwa,public toilet chafu,magonjwa ya muambukizo kibao.Japo ni maamuzi binafsi ila sio sahihi.