Kwanini Mpendazoe hakupewa mafao Zitto apewe?

To be honest.... Mpendazoe hakupewa hand shake yoyote ya ubunge Kama wengine kutokana na kutowakilishwa na Chama chake kwa kipindi hicho. Zito hapo na kukatalia. If you have facts please present them.
 
Last edited by a moderator:
Zitto si ni mamuluki waq CCM anahongwa mtu anayeacha alama za kiulizo kwenye mambo mengi nadhani walioshikilia maisha yake
 
Huyu ni mmoja ya Watanzania ambao serious auditing ya mali, mapato na matumizi ikipita hana uwezo wa ku account utajiri aliojilimbikizia kwa miaka kumi tu, ni sawa na EL tu huyu, labda anamwandalia pia nafasi ya kugombea urais EL huko ACT
 
Tatizo lenu mlio wengi mnafikiri kila mtu akipokea mshahara anakula na kusubiri mwingine kama walivyo watumishi wengi..

Unachotakiwa kuhoji ni vitega uchumi alivyo navyo mhusika kama haviendani na mali alizo nazo ndio uconnect dots sio unakimbilia hitimisho..
 
Yaani changanya vitega uchumi vyote
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…