Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
Naombeni tutafakari ni kwanini Mpendazoe hakupewa mafao yake ya ubunge wakati ule,Lakini Zitto anapewa?
Hili si jambo la kupuuza kwa ustawi wa Demokrasia yetu na sheria za nchi.
Ni vema tujadili kujua kama bunge letu lina upendeleo wa sheria au kanuni?
Tujiulize angekuwa Lissu Mnyika,Wenje au Mnyaa wangepewa?
*************** Majibu kutoka kwa Zitto ****************
Ha ha ha ha da!!Long time ago!!Songs of lawino and Okoli
Sijaona mtu analipwa posho kwa kufanya kazi yake anayolipiwa mshahara!mil 24 za posho kwa mwaka that means miaka minne ni 96m na hizo ni posho tu mara 350 ni karibia 350b kwa miaka minne,kwa miaka mi5 ni bilioni 420 ambazi zingeweza kutatua matatizo ya vitanda hospitalin,dawa,etc fedha zinatumika vibaya sana....
acha uongoo zito ana kadi mpya na hata nambari ya kadi yake ni mpya na pia muuundo wa kadi yake ni wa hizi mpya
KADI ZA ZAMANI ZA ACT HAZIPO KAMA ILE NI KIPANDE KIMOJA
tatizo huna hata ushahidi wala huzijui unasukumwa na hisia tu zito kajiunga juzi kadi yangu ni ya awali na najua zilivyokuwa mwanzo na hzi version ingine ambayo na zoto kapewa
Nita attach picha ya kadi ya zamani ambayo ni yangu na kadi ya sasa ambayo ni ya zito
Wewe chuki yako binafsi na Zitto inakufanya unakosa hata umakini na kuandika habari za kufikirika. Kama huna uakika na jambo si ukae kimya! Mleta mada amemnukuu Zitto akisema kuwa Mpendazoe alilipwa na inaweza kuthibitishwa lakini wewe unasema kujiunga na CDM kuli mu cost!
Acha ubabaishaji na kujivunjia heshima, kama ungekuwa mtu makini ungenukuu kanuni za bunge zinasemaje kuhusu mbunge kulipwa mafao iwapo ataacha ubunge kabla ya muda na siyo kuleta hapa story za kusikia kwenye vijiwe vya kahawa!
Tofauti ipo hapa,ukitazama picha ya Afande na wenzake bt ya Zitto inaonekana colour yake ipo tofauti,which means ..conets dots we Ndito
yaani wewe una muhemko sana
nambari ya kadi ya zitto ni elfu 70 naaa
namba yangu ni elfu 20 naa
na aliichukua pale pale na waandishi wakaipiga picha na pale pale akaonesha namba yake
mbona unapotosha kwa makusudi
Mwana act yeyote ajibu hoja hii ya kibo 10 kwanini mpendazoe akulipwa mafao yake lkn zito kalipwa mafao yake yote?
Huna tena hoja.jengeni chama chenu mmeshamtoa zitto lakini bado tu yumo akilini mwenuKwenye ukweli siku zote voroboto wa Zzk povu huwa linawatoka,tutazidi kuwamulika kadri otakavyohitajika
Aisee humu ndani wanazi wa Bavicha na wenzao wamenisikitisha sana,mmemsakama ZITTO akiwa ndani ya CDM,tukadhani tatizo lilikuwa yeye kuwa CDM wakati hatakiwi kule, sasa ametoka na si sehemu ya Siasa za CDM lakini bado vijana wa Bavicha wanaendeleza propaganda za kipuuzi kabisa.
Muda mnaopoteza kumshambulia ZITTO mngeutumia kushawishi walio karibu yenu kujiandikisha kupiga kura, kufahamu haki zao kama wapiga kura, na kufahamu mapungufu ya CCM na utawala uliokuwepo.
Mngeutumia huu muda muhimu kuelekea uchaguzi kujenga hoja kwa nini CDM ni jibu sahihi kwa mapungufu ya CCM, mngeutumia muda huu kuelezea mazuri yaliyofanywa na viongozi wa CDM na mipango yao kuwakomboa watanzania.
Kwa mfano, kama mna tatizo na ZITTO kupokea posho za vikao, na mna amini amezipokea (kitu msichokipenda, based on evidence nusu nusu zilizoletwa humu), basi mngetuletea hatua zilizochukuliwa na CDM kukomesha posho, Mngetuletea mifano positive ya viongozi wa CDM kukabiliana na tatizo la posho zinazocost wananchi kwa kupoteza fedha muhimu kwa huduma mbali mbali.
Hivi mnajisikiaje mamia ya wabunge wa CCM wakipumua bila shida kwa kuwa hakuna anayehangaika kuonesha mapungufu yao?mnajisikiaje wabunge hawa wakirudi tena madarakani na kuendelea kutunga sheria mbovu zinazozorotesha maendeleo kwa kuwa hawa watu mliwapa break?
Mnachokifanya hakina mantiki kabisa yani.
Alielala usimuamshe

Kwenye ukweli siku zote voroboto wa Zzk povu huwa linawatoka,tutazidi kuwamulika kadri otakavyohitajika
ngoja tukuletee ushahidi hapa msaliti mkubwa wee.acha kutapeli watu kwa kujiita mjamaa.mjamaa gani anafanyia mikutano Serena Hotel?uliuza majimbo ya chadema unajifanya una mapenzi na chama,umewauza mpaka wapiga kura wako kwa ccm na kukimbilia kigoma mjini.je umekuwa wa mwisho kutoka chadema?
Hilo sahau mkuu ACT kujiunga ukawa ni sawa na Kusema Ccm waungane na ukawa.