Kwanini Mozambique tunaiita Msumbiji?

Kamaa unaona kero kuiita Msumbiji basi iite Msambinungwa!

Hahhaaaaa haki ya mzungu humu JF ukisoma posts na ukatoka na stress bado we lako kaburi.

Mkuu umewaza nini ati?
 

Moja ya tabia ya lugha ni dhana iitwayo "arbitrariness" ambayo humaanisha hakuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya neno/jina na kitu ambacho kinawakilishwa na jina/neno hilo.

Kwenye Wikipedia wanasema arbitrariness "is the quality of being determined by chance,
whim, or impulse, and not by necessity, reason, or
principle".

Ingawa yapo maneno mengine ambayo yalitokea kulingana na sauti/mlio zake/wake (onomatopoec words) kama vile "pikipiki", lakini hatuwezi sema kuwa huu unaitwa mti kwakuwa m- inawakilisha majani, t-inawakilisha gogo, i-inawakilisha mizizi, hakuna mahusiano ya moja kwa moja. HUWA INATOKEA TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…