niliwahi kuwa mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita msumbiji japo kuna wamakonde wa msumbiji wale wa mpakani na tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua mozambique
sasa hili jina msumbiji lilitoka wapi
na misri -egypty
marekani-usa
yalitoka wapi
ndio tunataka jibu sasa hapa tena wewe unayefanya PHD utatusaidia haya majina yalitoka wapi hachana na mambo ya UK hiyo kidogo inaelewekaMbona haya mambo mengine yanaturudisha chekechea wakati tunafanya PHD?
unajuwa kwamba wafaransa nchi yetu wanaiita TANZANIE?
Labda bora Ungeuliza kwa nini England na UK zote ni Uingereza ningeona mantiki yako.
Niliwahi kuwa Mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita Msumbiji japo kuna wamakonde wa Msumbiji wale wa mpakani na Tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua Mozambique.
Sasa hili jina Msumbiji lilitoka wapi?
Misri - Egypty
Marekani - USA
yalitoka wapi?
Misr, masr kiarabuNiliwahi kuwa Mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita Msumbiji japo kuna wamakonde wa Msumbiji wale wa mpakani na Tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua Mozambique.
Sasa hili jina Msumbiji lilitoka wapi?
Misri - Egypty
Marekani - USA
yalitoka wapi?
Niliwahi kuwa Mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita Msumbiji japo kuna wamakonde wa Msumbiji wale wa mpakani na Tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua Mozambique.
Sasa hili jina Msumbiji lilitoka wapi?
Misri - Egypty
Marekani - USA
yalitoka wapi?
Niliwahi kuwa Mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita Msumbiji japo kuna wamakonde wa Msumbiji wale wa mpakani na Tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua Mozambique.
Sasa hili jina Msumbiji lilitoka wapi?
Misri - Egypty
Marekani - USA
yalitoka wapi?
Umesahau Malaysia tunawaita .............