Kwanini Moshi na Dar kuna viwango sawa vya joto?

Kwanini Moshi na Dar kuna viwango sawa vya joto?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,766
Leo Dsm temperature inaambiwa ni 33 degree na Moshi nako ni 33 degree. Juzi kati joto moshi lilifika 34 wakati huo dsm likiwa 32.

Moshi inaendelea kuvunja rekodi, kuna mwaka nadhani miaka ya juzi juzi moshi ilivunja rekodi kama mji wenye viwango vya joto kuzidi miji yote ya Africa nzima nakumbuka hii post.

Kulingana na utabiri wa hali ya hewa uliorushwa na TBC1 jana usiku mjini wa Moshi leo utakuwa na joto kali kuliko yote afrika. Mjini unaofanana na Moshi utakuwa na Niamey,Niger.

Jamani sijui barafu ya Mlima Kilimanjaro itapona?

Moshi kuna joto kali sana mpaka milimani bora hata Dar, joto litaua watu huku.

Nashindwa kuelewa kwanini Moshi iwe na joto sawa na Dar? Kunanini huko Kilimanjaro?
 
zip mi na we ndani ya jeep izo kiss siweziskip taumiza wanacheembaaa
 
Sasa Unataka wana Moshi wafanyaje...wahame au?
 
Leo Dsm temperature inaambiwa ni 33 degree na Moshi nako ni 33 degree

Juzi kati joto moshi lilifika 34 wakati huo dsm likiwa 32

Moshi inaendelea kuvunja rekodi, kuna mwaka nadhani miaka ya juzi juzi moshi ilivunja rekodi kama mji wenye viwango vya joto kuzidi miji yote ya Africa nzima nakumbuka hii post

Kulingana na utabiri wa hali ya hewa uliorushwa na TBC1 jana usiku mjini wa Moshi leo utakuwa na joto kali kuliko yote afrika.
Mjini unaofanana na Moshi utakuwa na Niamey,Niger.
Jamani sijui barafu ya mlima kilimanjaro itapona.

Moshi kuna joto kali sana mpaka milimani bora hata Dar, joto litaua watu huku

Nashindwa kuelewa kwanini Moshi iwe na joto sawa na Dar? Kunanini huko Kilimanjaro?
Kila mwaka Desemba wachagga wanakusanya joto na kulirudishwa kwao!
Hii ni hatari!
(Dint panic, its a joke)
 
Mji wa Moshi uko chini sana ukilinganisha na Arusha kwa mfano Arusha ni karibia 2000 meters juu ya usawa wa bahari, Mji Moshi siku zote una joto sababu hiyo, ukitoka Arusha City kuja Moshi unashuka tu ukienda Arusha kutokea Moshi unapanda tu. Ndiyo maana Arusha siku zote kuna hali ya hewa ya baridi sababu iko juu kijiografia.

Walioanzisha Mji wa Moshi Wakoloni Ujerumani waliita Moshi Arusha chini na Arusha ya leo iliitwa Arusha juu, hilo ndiyo jina original la Mji wa Moshi uliitwa Arusha chini, Moshi iko sawa na Same au sijui Hedaru na huo ukanda wote ndiyo maana kuna joto sana, …
 
Leo Dsm temperature inaambiwa ni 33 degree na Moshi nako ni 33 degree. Juzi kati joto moshi lilifika 34 wakati huo dsm likiwa 32.

Moshi inaendelea kuvunja rekodi, kuna mwaka nadhani miaka ya juzi juzi moshi ilivunja rekodi kama mji wenye viwango vya joto kuzidi miji yote ya Africa nzima nakumbuka hii post.

Kulingana na utabiri wa hali ya hewa uliorushwa na TBC1 jana usiku mjini wa Moshi leo utakuwa na joto kali kuliko yote afrika. Mjini unaofanana na Moshi utakuwa na Niamey,Niger.

Jamani sijui barafu ya Mlima Kilimanjaro itapona?

Moshi kuna joto kali sana mpaka milimani bora hata Dar, joto litaua watu huku.

Nashindwa kuelewa kwanini Moshi iwe na joto sawa na Dar? Kunanini huko Kilimanjaro?
Ndio maana Dar na Kilimanjaro hakuna BALIMI. Ukae ukijua
 
Back
Top Bottom