Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,097
- 10,612
Hata Moshi mjini Ina ukubwa gani? Almost the same tu.unless unaongelea mkoa wankilimanjaro Ila Moshi ni wilaya na padogo sanaSasa korogwe mji gani na wewe? Unaona nyingi sababu ya udogo wa mji

Hata masokoni waliojaa ni WanawakeHalafu huo mji bana katika kupita pita sijakutana na mmachinga mwanaume.....itakuwa asilimia 90 ni wanawake..