Kwanini moshi huelekea angani bila kurudi ardhini?

Kwanini moshi huelekea angani bila kurudi ardhini?

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,485
Ikiwa dunia inavuta vitu mbalimbali kuelekea chini kupitia nguvu ijulikanayo kama "gravitational force".
Je kwanini nguvu hiyo ya "gravitional force" haivuti moshi kuelekea down badala yake moshi huo huelekea tu angani?je ni nguvu ipi inayopelekea moshi kuvutika kuelekea tu angani?
Mwenye uelewa wa kutosha naomba anisaidie juu ya swali hilo
 
moshi ni kitu less density so lazima iendeje!!achana na moshi kuna kitu kinaitwa wind..ila nimejib uelewa biut sijasoma climatology kama vitu vya matopic mengine geo nd nipo vizur
 
Ikiwa dunia inavuta vitu mbalimbali kuelekea chini kupitia nguvu ijulikanayo kama "gravitational force".
Je kwanini nguvu hiyo ya "gravitional force" haivuti moshi kuelekea down badala yake moshi huo huelekea tu angani?je ni nguvu ipi inayopelekea moshi kuvutika kuelekea tu angani?
Mwenye uelewa wa kutosha naomba anisaidie juu ya swali hilo
Moshi!! kwa nini ndege ya abiria iruke angani ?
 
NO MASS NO ,CENTRAL OF GRAVITY ILI KITU KIWE ATTRACTED DOWN,THERE MUST BE A MASS IN OBJECT,samahani kama nimekosea maana nilisomaga mda sana physics
 
Hot air is light. So it goes up.. cold air is heavy so it sinks..

Hewa yenye joto ni nyepesi hivyo huenda huu.. hewa ya baridi ni nzito hivyo huja chini..

Ndo nilivyokariri hivyo..
 
Hot air is light. So it goes up.. cold air is heavy so it sinks..

Hewa yenye joto ni nyepesi hivyo huenda huu.. hewa ya baridi ni nzito hivyo huja chini..

Ndo nilivyokariri hivyo..
Kuna kitu kinaitwa hot air mass na cold air mass kwenye climatology hii kitu huwa inatofautiana kwenye density always hot air mass is less heavy compare to cold air mass wich is heavy so due to this it cause the heavy to sink due to gravitation force and the less heavy to flot
 
Hayo ni mambo yakisayansi zaid maana ww navokuona waweza kuuliza funza kaingiaje kwenye kokwa la embe
Nimekuwa interested kujua funza anavyoingia kwenye kokwa la embe kama unajua nambie mkuu
 
Ikiwa dunia inavuta vitu mbalimbali kuelekea chini kupitia nguvu ijulikanayo kama "gravitational force".
Je kwanini nguvu hiyo ya "gravitional force" haivuti moshi kuelekea down badala yake moshi huo huelekea tu angani?je ni nguvu ipi inayopelekea moshi kuvutika kuelekea tu angani?
Mwenye uelewa wa kutosha naomba anisaidie juu ya swali hilo
moshi hauna mass so hauwezi kuvutwa na gravitational force lkn hii pia ni sababu ya kimazingira laiti kama moshi ungekuwa unarandaranda tu hapa duniani ingeleta tabu ktk uvutaji wa hewa ama kuona so nadhani upo ktk form hiyo kwa kusudi hilo
 
Ikiwa dunia inavuta vitu mbalimbali kuelekea chini kupitia nguvu ijulikanayo kama "gravitational force".
Je kwanini nguvu hiyo ya "gravitional force" haivuti moshi kuelekea down badala yake moshi huo huelekea tu angani?je ni nguvu ipi inayopelekea moshi kuvutika kuelekea tu angani?
Mwenye uelewa wa kutosha naomba anisaidie juu ya swali hilo

Mawazo yangu;-
1. Moshi sio massless kama walivyosema baadhi ya wachangiaji. Ukweli ni kwamba moshi una mass.
2. Kwa sababu namba moja hapo juu (moshi una mass) ina maana moshi una experience the effect of gravitational force (unavutwa kuelekea katikati ya dunia).

Je, kwanini unaenda juu wakati centre ya dunia ni chini na katika kwenda juu huko unaenda freely (haitumiki nguvu yoyote) tofauti na bombardier (ndege) za Magufuli zinavyopaa angani (hizi huwa zinatumia nguvu fulani kufanya hivyo nadhani forces na pressure).

Maelezo mafupi;-
Tuna hali tatu za mada (three states of matter) yaani yabisi (solid), kimiminika (liquid) na gesi (gas). Kitu kikiwa katika hali ya kimiminika na gesi kuna mpangilio maalumu nani awe chini nani awe juu pale VINAPOCHAMGANYWA na kutengeneza MCHANGANYIKO USIO MWANANA (Heterogeneous mixture) yaani vinapochanganywa na kila kitu kukaa pekeyake. Mfano maji na mafuta.

Nani akae juu nani akae chini hutegemea ni yupi mwenye density kubwa (atakaa chini) na yupi mwenye density ndogo (atakaa juu ya mwenzake) katika mpangilio huo.

Hali ni tofauti kwenye solid state kwa sababu unaweza kuweka kipande cha tofali juu ya kipande cha keki na pia kwenye homogeneous mixture (mchanganyiko mwanana) mfano maji na maziwa (hauwezi kusema nani atakaa juu nani chini).

Jibu:-
Kwa sababu moshi ni less denser than air (una density ndogo kuliko hewa) unaenda "kujipanga juu" then unakua attracted towards the centre of the earth from there. Hii ndio sababu kwanini moshi unakwenda juu licha ya kwamba kuna hiyo nguvu ya uvutano kuelekea katikati ya dunia.

Asante.
 
Back
Top Bottom