mkuu lakini hebu tujiulize tu kwa nini wazichukue?.....tukiacha uzushi na huo uhuni wa luwasa....kwa nini wazichukue?Acha uzushi wewe. Kwani hizo namba zina faida gani? Kani wakati wa kupiga kura zinatumika namba? Mbona huelezi uhuni unaofanywa na Fisadi Lowasa wa kununua shahada za kupigia kura kwa mdereva wa bodaboda?
hamna kitu kinachoniuma kama kuona hawa wajumbe wa sisim kuchukua vitambulisho vya watu na kwenda kunakili namba za vitambulisho, kama mnajiamini, na kama mnaona mnapendwa acheni kuchukua vitambulisho vya watu, wote tusubiri october wananchi wenyewe tuzungumze.kila mtu ana kitambulisho chake wewe unataka kuchukua cha kwangu kwa mantiki ipi?
Jaman naombeni tutunze kadi zetu za kura, usikubali kumpa mtu kadi yako
===>Mkuu diiisiii kazi mnayo,au ndio baoa mkono hilo?Acha uzushi wewe. Kwani hizo namba zina faida gani? Kani wakati wa kupiga kura zinatumika namba? Mbona huelezi uhuni unaofanywa na Fisadi Lowasa wa kununua shahada za kupigia kura kwa mdereva wa bodaboda?