Kwanini mnataka shahada zetu?

Kwanini mnataka shahada zetu?

Kidizo

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
15
Reaction score
7
Hamna kitu kinachoniuma kama kuona hawa wajumbe wa CCM kuchukua VITAMBULISHO vya watu na kwenda kunakili namba za VITAMBULISHO, kama mnajiamini, na kama mnaona mnapendwa acheni kuchukua VITAMBULISHO VYA watu, wote tusubiri october wananchi wenyewe tuzungumze.

Kila mtu ana KITAMBULISHO chake wewe unataka kuchukua cha kwangu kwa mantiki ipi?

JAMAN NAOMBENI TUTUNZE KADI ZETU ZA KURA, USIKUBALI KUMPA MTU KADI YAKO

Acha uzushi wewe. Kwani hizo namba zina faida gani? Kani wakati wa kupiga kura zinatumika namba? Mbona huelezi uhuni unaofanywa na Fisadi Lowasa wa kununua shahada za kupigia kura kwa mdereva wa bodaboda?
 
mkuu lakini hebu tujiulize tu kwa nini wazichukue?.....tukiacha uzushi na huo uhuni wa luwasa....kwa nini wazichukue?
 
wiki mbili zilizopita kama sio tatu niliende kituo kikuu cha polis pale Iringa mjini nilistaajabu nilipokuta kunatangazo linalowataka askari wote kupeleka vitambulisho vyao vya kupigia kura na wale ambao hawakujiandikisha kwa sababu yoyote ile wajiorodheshe majina yao....nilistaajabu sana sasa kwa hii post yako naanza kupata picha? ahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hamna kitu kinachoniuma kama kuona hawa wajumbe wa sisim kuchukua vitambulisho vya watu na kwenda kunakili namba za vitambulisho, kama mnajiamini, na kama mnaona mnapendwa acheni kuchukua vitambulisho vya watu, wote tusubiri october wananchi wenyewe tuzungumze.kila mtu ana kitambulisho chake wewe unataka kuchukua cha kwangu kwa mantiki ipi?
Jaman naombeni tutunze kadi zetu za kura, usikubali kumpa mtu kadi yako

hawana namna nyingine,ila tuko tayari kwa lolote kuhakikisha demokrasia inachukua mkondo wake
 
wiki mbili zilizopita kama sio tatu niliende kituo kikuu cha polis pale Iringa mjini nilistaajabu nilipokuta kunatangazo linalowataka askari wote kupeleka vitambulisho vyao vya kupigia kura na wale ambao hawakujiandikisha kwa sababu yoyote ile wajiorodheshe majina yao....nilistaajabu sana sasa kwa hii post yako naanza kupata picha? ahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Acha uzushi wewe. Kwani hizo namba zina faida gani? Kani wakati wa kupiga kura zinatumika namba? Mbona huelezi uhuni unaofanywa na Fisadi Lowasa wa kununua shahada za kupigia kura kwa mdereva wa bodaboda?
===>Mkuu diiisiii kazi mnayo,au ndio baoa mkono hilo?
 
Nahis kuna rafu zishaanza tayar, watu tuwe macho na hili jambo
 
Kuna huu ujumbe nimetumiwa nao sijui vp???
Send as received👉Hakikishia taarifa zako za BVR ktk
simu yako;
*152*00#
Ahsante

Usidanganyike, namba hizo zimetengenezwa na watu wabaya lengo ni kutaka kukuibia namba iliyopo kwenye kitamburisho chako.
Ukiingiza tu hizo *152*00# wanakuambia utume id namba.
Na ukikubali kufanya hivyo ujuwe umeshapigiwa kura yako, siku ya kupiga kura utaambiwa umeshapiga..

Share na wengine ili wapate angalizo hili.
 
Tume ya uchaguzi inatakiwa kutoa Tamko kuwa kadi ya kupiga kura itatumika tu tar 25 october si vinginevyo...huko kuhakiki ktk mtandao ni nini? wameamua kula pesa kuwalipa makampuni ya simu kwa system hii..sasa tume ikiwa wezi wa pesa za umma je kura?? mtu kajiandikisha basi aachiwe kadi yake hadi october
 
Back
Top Bottom