Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,284
- 4,330
Hey there,
Roughly, wanaume wengi wapumbavu ndo wamepewa hela na wanawake wengi wapumbavu ndo wazuri
Wakuu hivi kwanini mnajirekodi video mkiwa faragha?, mtu anakaaa tu mara anawasha camera yake anaanza kuchukua video za uchi wake alafu anazisave kwenye simu, watu mmekubaliana mnyanduane mnatega simu pale inachukua video au mnawekana au mnachezeana mmoja wenu anarekodi afu anasave hizo video, like what the hell??
Mi nikiingia na mwanamke site iwe ghetto, lodge, gesti au popote pale, jambo la kwanza ni simu zizimwe, ziwe off, sio tu sitaki tupige picha au tuchukue video, sitaki disturbance wakati wa show ile shughuli iheshimiwe, mtu unanidai uko unanipigia simu mi nishatanua mapaja mtoto wa watu mara lisimu linaita kuangalia ni wewe na madeni yako mkuyenge wenyewe unalala hapo hapo.
Wakuu mnavochukua zile video wakati mnawekana lengo ni nini hasa, baadae uziangalie kama x, ukawauzie pornhub, uangalie performance zenu, upandishie stim baadae, ukaipeleke kama ushaidi mahala fulani kwamba mmewekana au nini huwaga mnalenga mi siwaelewagi?
Kuna video za aina mbili, aina ya kwanza mtu yupo tu mwenyewe anajirekodi uchi wake kama chizi hivi, yani amekaa akaamua awashe front camera achukue video za uchi wake akiuchezea au kuauangalia tu afu baadae aanze kuziangalia au kufowadia watu, hii sana ni wanawake wanafanya sijui anataka a-aprreciate maungo yake sielewi, sema zifutazo zinaweza kuwa sabab
-Amejiskia tu from nowhere
-Ameombwa na babe wake
-Ameziweka kama akiba just incase
Aina ya pili ni mtu na mtu wake, mara nyingi ni wanaume huwa wanachukua hizi video, na sababu zinaweza kuwa
-Amejiskia tu from nowhere(Na limwanamke linakubali tu)
-Ukumbusho
-Mwanaume aje kujisifia kiasi gani alipeleka moto
-Aje kuwaonesha wadau kama ushaidi
-Baadae aje aitumie kumtishia mwanamke wakianza kuzinguana
-Aje ampige pesa dem
Mwanamke, mpaka mwanaume anataka mjirekodi wakati mnafanya mapenzi jua huo mda upo na chizi, kama ni mpenzi wako sema mpenzi wangu chizi hana akili huyo mpumbavu, hakupendi, hakuthamini, hakujali, anakudharau, anakuona huna akili, hujielewi, mbumbumbu, sefuri, hamna kitu, kama wewe sio malaya Kaa mbali na huyu mwanaume, ni mwanaume mpumbavu tu atataka mjirekodi wakati mnafanya mapenzi.
Mwanamke, ukipitiwa na pepo lakutaka kujirekodi uchi wako, basi jirekodi ukimaliza ni uzifute au uziweke somewhere safe like kwenye email, usimtumie, kamwee usitumeeee picha au video yako ya uchi mwanaume, akikuomba jua unachart na kichaaa, chizi hamna kitu utavuna hapo mama sifuri kabisa hana Kali, kakudharilisha.
Ewe malaya, unataka kumtumia picha zako za uchi Ili umteke??mtumie bhana si bando kakutumia mamaaa.
Me nataka tuongelea hapo video zinazoenesha uchi wako zipo kwenye simu ya mtu mwingine, ambaye mara nyingi ni mpenzi wako, mtu unayemuamin sana, unampenda sanaa kiasi kwamba huoni hatari kuwa na video zinazoenesha uchi wako.
Ni hivi, watu hubadilika, mood za watu hubadilika, mahusiano huvunjika, simu hupotea na mambo mengine yanaofanana na haya,,
Huyu huyu mtu unayempenda na kumuamini one day one time mmezinguana atataka kukuabisha atavujisha video zako, hapa wanawake ndio waanga sana, simu yake inaweza kupotea watu wakaifungua wanakuta zaga zipo watazitumia kukupiga pesa.
WITO.
Husimwani mtu kiasi cha yeye kuwa na video zako ukiwa uchi wa mnyama, never ever.
Hapo nimeongea na wanawake sio malaya.
Lakini mnijibu basi hivi kwann mnajirekodi mkiwa faragha?
#OneDayYouWillBeGone
Dr Criminal.