Kwanini Mkuu wa Chuo huteuliwa na Rais

masengobangu

Senior Member
Feb 25, 2014
127
131
Nimejiuliza mwenzenu lakini na kosa jibu,hivi kwa nn MKUU wa chuo kama vile UDSM,UDOM.SUA n.k anateuliwa na RAIS? na kwann mkuu wa shule ateuliwi na RAIS?
 
Siyo mkuu wa chuo tu, hata VC na Registrar pia. Hizo zote ni Presidential Appointee.

University ni level ya juu ya Elimu,, huwezi kufananisha na primary au sekondary. Hii ni sehemu inayotoa cream ya Taifa, ingawa elimu siku hzi imekuwa uwanja wa siasa.

Pumzi ya uhai wa Taifa inatoka sehemu hii,, kwa hiyo inahitaji umakini kwa mtu anayeteuliwa kushika dhamana ya eneo hilo kwa ajili ya Taifa.

Huku kwingine kama primary n.k maafisa elimu wanatosha ndo saizi yao hao.
 
Back
Top Bottom