Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,575
- 31,012
Hii dhana ni potofu, sio kila mkulima ni masikini mimi naona jamii ielimike maana ukulima ni kazi na biashara kama zingine unazozijua. MO dewji ni mkulima wa mikonge tanga huko, marehemu Mengi alikuwa na mashamba ya miwa zaidi ya hekali elfu tano, Seif mmiliki wa kiwanda cha sukari ya Mtibwa ana mashamba ya miwa makubwa huko Morogoro, watu wanalima hekali zaidi ya elfu kumi za mpunga halafu utakuta mtu anasema wakulima ni masikini.
Ili mtoto apate mkopo loan board basi atasema mimi ni mtoto wa mkulima ili serikali ijue huyu ni fukara. Mimi mtu akisema ni mkulima huwa namuoma ana maisha mazuri labla mpaka yeye ndoaseme ni mkulima ila maisha yake sio mazuri.
Hii tabia ya kuandamine wakulima wanayo serikali ya ccm, kuona wakulima wanahali ngumu ni kuwatenga nakuwaumiza kisaikolojia.