Sasa kwa Waswahili Manispaa yanini?[emoji1787]
Dar ndio center na mji mkuu wa Waswahili mwambao wote wa Pwani kuanzia Kilwa mpaka Lamu ukifuatiwa na Mombasa na ndio mji wa KWANZA kuwa na halmashauri,manispaa na Jiji. Wa Pwani wanachukulia Dar ndio mjini.Hao ndio wa KWANZA miji yao kuwa halmashauri,manispaa na Jiji kabla mikoa mengine haijafikia level hizo.
Yan kaandika ujinga mnoo, anaonekana mweupe sana kichwaniMkuu huko shule ulienda kusomea ujinga au....CIVICS ya form two inakushinda[emoji28][emoji28]
Utaratibu ni huu inaanza mamlaka ya Mji mdogo-halafu Mji-Mji ukishafikia idadi ya watu zaidi ya 90,000 unapewa hadhi ya Manispaa-ikitoka Manispaa inafuata hadhi ya Jiji
Wewe unakiamini hiki ulicho comment? Mbona Dar es salaam yenyewe ina Manispaa 5?Dar es salaam a k a Mzizima ndio makao makuu ya Mkoa wa Pwani.
Toka kale mpaka Sasa.
Kilichofanyika ni kuchukua eneo dogo na kuliita mji/ Jiji halafu kwingine Pwani.
Ila kote ni eneo Moja.
Cha mwisho wilaya za Pwani zote zimeunganishwa na dar es salaam hivyo ni ngumu haya maeneo kujua kwa kasi iliyokusudiwa.
Ila kwa Sasa dar eneo kubwa limejaa ukiitoa kigamboni ndio maana unaona Pwani inajengeka kwa kasi
Na chalize hapawezi kuwa manispaa kwanza kule porini afu idadi ya watu Ni ndogo Bora Ata kibaha angalauLabda manispaa iwe chalinze, maana ipo katikati ya Dar na moro, tena ipo karibu na moro zaidi kuliko Dar
Kwa nini mbeya vijijini hakuna manispaa?Wewe unakiamini hiki ulicho comment? Mbona Dar es salaam yenyewe ina Manispaa 5?
Kwanini Pwani haina Manispaa?
Usijisahaulishe hapa ni jf sio fb kwa waj..ng.. WenzioMnakera sana ,hamjui wapi R wapi L nyie hata shule mlikua vilaza
Upitie uzi tena,ulichoandika hakiendani na mada husikaKwa nini mbeya vijijini hakuna manispaa?
Kwa nini bariadi vijijini hakuna manispaa?
Kwa nini wilaya ya Uyuwi hakuna manispaa?
Chalinze sio wilayaNa chalize hapawezi kuwa manispaa kwanza kule porini afu idadi ya watu Ni ndogo Bora Ata kibaha angalau
UnakurupushwaTuondolee uchuro hapa. Kibaha iwe manispaa?
unadhan kila mtu amesoma kiswahili..! Kikubwa ni uelewa wako wa madaBasi itakuwa ulikuwa unatoroka somo la kiswahili shuleni.
Majibu urojo haya.. Kama swali limekuzidi upeo usijisumbue kujibu utaonekana kiandeMe naamini mda c mrefu mkoa wa pwani kuna wilaya zitapewa hadhi ya manispaa
Hauko updated wwChalinze sio wilaya
Ww ndo kiande, fala wwMajibu urojo haya.. Kama swali limekuzidi upeo usijisumbue kujibu utaonekana kiande
Mbeya Vijijini lugha rasmi ni Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) ambayo tayari ni Halmashauri. Hivyo bado haijafikia hadhi ya kuwa Halmashauri ya Mji au Manispaa.Kwa nini mbeya vijijini hakuna manispaa?
Kwa nini bariadi vijijini hakuna manispaa?
Kwa nini wilaya ya Uyuwi hakuna manispaa?