Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

Njombe kuna hospitali kubwa na nyingi kuliko Dar?
Njombe kuna watu wengi kuliko Dar?
Ni kweli hapo kwa swala la hosp. Mdau alidanganywa tu na huyo daktari.

Hizi takwimu kwa mikoa ya Mbeya na Iringa kuwa na rate kubwa ya ukimwi ni toka zamani kabla ya kuwepo kwa mkoa wa Njombe, binafsi naamini awareness bado ni ndogo kwa jamii, mila na desturi, ulevi,umaskini n.k vinachangia kwa kiasi kikubwa.
Siamini kwamba baridi ni sababu, kwani kuna sehemu zina baridi pia lakini rate siyo kubwa.
 
Hawajui kugegedana, wanaingiliana kwa nguvu na kusababishana michibuko. Matokeo yake Virus vinapata nafasi ya kupenya. Inatakiwa uingie when you are sure that it is wet, and make sure it remains wet until you reach the climax.
 
Mkuu hapo kwenye kuwaita watu wapime kwa lazima nakukatalia. Mm nna uzoefu mkubwa na Njombe.

Tatizo tu mzunguko Mdogo, kidemu kimoja mnaeza mkitandike mijeledi midume hata 20 kwa wiki. Awe mzr mzuri tu
Mm nimefanya kazi kwenye shirika la kupima watu afya. Katika mikoa ya nyanda za juu hakuna mkoa wenye watu wenye mwamko wa juu kupima afya, kama mkoa wa Njombe na ambao ni wawazi. Mfano kila kijiji tulichokuwa tunakwenda utakuta waliojitokeza ni wengi sana. Tofauti na mikoa mingine wengi waoga kupima afya zao. Mfano utakuta kijiji kinawakazi 500, wanaojitokeza kupima afya ni 20. Wakati vijiji vya wilaya ya Makete kinawakazi 300 wanaojitokeza kupima utakuta wapo 280. Sasa kwa uwiano huo lazima itaonekana mkoa wa Njombe unamaambukizi makubwa. Na kingine kinachochangia ni kuwa na Hosptal nyingi kubwa, ambapo wagonjwa wengi wanakwenda kule kutibiwa na kumbukumbu zao zinabaki kule.
 
kwangu bado njombe bado ni wilaya ktk mkoa wa iringa,aya mambo ya kutugawa iringa yetu sikuyapenda kabisa!! vahege ipa mitwe mikomi
 
Jibu ni kwamba..njombe wanabidii ya KUPIMA ukimwi..

Ila.kuhusu kugegedana tz nzima wanafanyana hasa pwanu aisee

Ila wangoni na wahaya Wanapepo la ngono
 
 
Hata tabia za watu wanaotoka huko tunaziona huku mikoani, msitafute mchawi ilhali tabia za watu wa huko tunazijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…