Kwanini mkoa wa Njombe kuna baridi sana?

Proffesor

JF-Expert Member
Aug 13, 2014
2,115
2,849
Nauliza swali

Kwanini mkoa wa Njombe uwe na baridi kali kiasi hiki tofauti na mikoa mingine?
 
Ni kwasababu ipo kwenye 'high altitude', yaan ipo juu sana toka usawa wa bahari. Kwa kila mita moja unayoenda juu toka usawa wa bahari, joto hupungua kwa wastani wa nyuzi joto 0.6. Pia Njombe inaongoza kwa maambukizi ya UKIMWI hapa nchini.
Mbona mikoa kama rukwa upo juu kutoka usawa wa bahar lkn hakuna baridi kali kama hili...?
 
Miti aina ya pine iliyopandwa huko inachangia kuongeza baridi ni kama ilivyo mafinga na mufindi huko sababu ya pine forests
 
Mbona mikoa kama rukwa upo juu kutoka usawa wa bahar lkn hakuna baridi kali kama hili...?
Baridi ipo Rukwa kama kawa.
18-22 degree centigrade

Mkoa wa Rukwa umegawanyika katika hali ya hewa tofauti tofauti, mf. Sumbawanga mjini joto hadi 18 degrees Celcius, lakini bonde la ziwa Rukwa kuna joto hadi 32 degrees centigrade
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom