BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,819
- 11,004
Baadhi ya wanawake wakiwa wajawazito wanabadilika. Wife ujauzito wa kwanza alikua anataka muda mwingi anione. Kwa sasa ana ingine ila ananiponda mpaka namwambia au hiyo siyo yangu?hata niogeje utasikia unanuka.
Kunipa misosi ameongeza kipimo cha kunijali.Hivi nyie kina mama mnaigizaga au mnayofanya mnamaanisha???
Kunipa misosi ameongeza kipimo cha kunijali.Hivi nyie kina mama mnaigizaga au mnayofanya mnamaanisha???