Kwanini mke wangu hataki kunisamehe?

Kaka kwa akili ya kawaida tu ulimtendea jambo haya sana .msamaha no juu take mkeo kuamua kwani maumivu aloyapata ayajua
 
jaman mi naomba siku mtu aje na stori nzuri ya kuhusu ndoa. kila siku matatizo ya ndoa mi nakata tamaa kbs ya kuolewa, uwiiiiiii
 
duh pole sana mkuu ila uxlzmishe msamaha cha muhimu akurusu watoto wako tu uonane nao
 

ehhhhh upo serious kabisa unauliza kosa gani kubwa....hahahhahhahha uwiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…