Hili ni janga kwa sasa nimenunua modem za kampuni zote za simu hapa tz, nilianza na moja nikaona inazingua speed nikahamia mtandao mwingine nako hali ni ile ile hadi nimemaliza leo nimenunua mtandao wa mwisho huko ndo khaa nusu saa page ina load cha ajabu matangazo ya kila kampuni yanasifia kuwa mitandao yao ina spidi acheni kudanganya watu ni aheri mkasema tu mnatoa huduma na si kuleta mbwembwe kuwa mitandao yenu ina spidi TCRA mko wapi watu tunadanganywaaaaaaaaa liveee unaambiwa modem ina download speed ya 7mbps,au 3.1mbps lakini siku nzima ukiangalia unaona ni 10kbps,20 au imeenda saanaaa ni 300kbps huu ni UWIZII
Unategemea TCRA itafanya nini ikiwa Makamba kayageuza makampuni ya simu vyanzo vya pesa ya mbio za urais 2015?Hili ni janga kwa sasa nimenunua modem za kampuni zote za simu hapa tz, nilianza na moja nikaona inazingua speed nikahamia mtandao mwingine nako hali ni ile ile hadi nimemaliza leo nimenunua mtandao wa mwisho huko ndo khaa nusu saa page ina load cha ajabu matangazo ya kila kampuni yanasifia kuwa mitandao yao ina spidi acheni kudanganya watu ni aheri mkasema tu mnatoa huduma na si kuleta mbwembwe kuwa mitandao yenu ina spidi TCRA mko wapi watu tunadanganywaaaaaaaaa liveee unaambiwa modem ina download speed ya 7mbps,au 3.1mbps lakini siku nzima ukiangalia unaona ni 10kbps,20 au imeenda saanaaa ni 300kbps huu ni UWIZII
mkuu hapo umeongea kweli ila tazama na area
Hili ni janga kwa sasa nimenunua modem za kampuni zote za simu hapa tz, nilianza na moja nikaona inazingua speed nikahamia mtandao mwingine nako hali ni ile ile hadi nimemaliza leo nimenunua mtandao wa mwisho huko ndo khaa nusu saa page ina load cha ajabu matangazo ya kila kampuni yanasifia kuwa mitandao yao ina spidi acheni kudanganya watu ni aheri mkasema tu mnatoa huduma na si kuleta mbwembwe kuwa mitandao yenu ina spidi TCRA mko wapi watu tunadanganywaaaaaaaaa liveee unaambiwa modem ina download speed ya 7mbps,au 3.1mbps lakini siku nzima ukiangalia unaona ni 10kbps,20 au imeenda saanaaa ni 300kbps huu ni UWIZII
Hili ni janga kwa sasa nimenunua modem za kampuni zote za simu hapa tz, nilianza na moja nikaona inazingua speed nikahamia mtandao mwingine nako hali ni ile ile hadi nimemaliza leo nimenunua mtandao wa mwisho huko ndo khaa nusu saa page ina load cha ajabu matangazo ya kila kampuni yanasifia kuwa mitandao yao ina spidi acheni kudanganya watu ni aheri mkasema tu mnatoa huduma na si kuleta mbwembwe kuwa mitandao yenu ina spidi TCRA mko wapi watu tunadanganywaaaaaaaaa liveee unaambiwa modem ina download speed ya 7mbps,au 3.1mbps lakini siku nzima ukiangalia unaona ni 10kbps,20 au imeenda saanaaa ni 300kbps huu ni UWIZII
acheni siasa, jukwaa hili tunajadili kisayansi na kwa fact, makamba anashushaje spidi ya intanet? mbona hatushushii sisi? nyie tu?Unategemea TCRA itafanya nini ikiwa Makamba kayageuza makampuni ya simu vyanzo vya pesa ya mbio za urais 2015?
nilikuwa nawaonesha hawa wanaosema mitandao spidi ya kobeungeweka na ya airtel maana hata wao wanashikilia 3mbps mchana