Kwanini minara ya simu hujengwa kwa kufanana?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,524
21,998
Habari wataalam humu JF,

Hivi ni sababu gani minara mingi ya simu haipakwi rangi ya mtandao husika? yote inaonekana kama kufanana,halafu pia je mnara mmoja hupimwa kwa idadi gani ya watumiaji?
 
Back
Top Bottom