Kwanini mimi sipati wangu...!

Nani kakwambia mwanaume anazeeka?
Halafu we kweli unaamini katika MUNGU? unampangia MUNGU muda wa kukujibu maombi yako! Huna adabu!
 
Unataka mwenza, je una uwezo wa kumfikisha kileleni?
Usione wenzie tuna wapenzi wengi, unajua tabu tunayopata? Usifanye mchezo aisee kumfikisha mtu kileleni, kuna wanawake wengine unasimamia hadi kucha lakini hafiki kileleni, unapiga show ya Makhirikhiri lakini bado anadai, aisee unaweza kuomba poo! Aisee nakushauri ukae hivyo hivyo!
 
Sina haja ya kuhurumiwa, Bali nahitaji kupendwa kwa mantiki ya dhamira ya kweli ya mtu@ toria! Rikardo kaka, kuhusu hofu yako, hilo halina kuuliza!!!!!
 
Itakua Huna Ela, Ukiwa Na Ela Mbona Fresh Tu Wanakuja Wenyewe.
 
Sina haja ya kuhurumiwa, Bali nahitaji kupendwa kwa mantiki ya dhamira ya kweli ya mtu@ toria! Rikardo kaka, kuhusu hofu yako, hilo halina kuuliza!!!!!

Ulipie Ili Tangazo Maana Unajiuza Wewe
 
Sam, wala sifanyi marketing Bali nilihitaji ushauri toka kwa wana jamvi! BUT kama kuna binti mwenye uhitaji kama Mimi sio mbaya tukianzia hapa!!!™
 
we wenzio tunakimbia wewe unakimbilia......hehehe kasese...


Kaizer wapi wewe lewooo?
 
Last edited by a moderator:
Kule kwetu nyanda za juu kusini mdesi maana yake mwongo....huwa napata kigugumizi kusoma post zako maana huwa nahisi ni za uongo lol...

hahahahaaa we ni twilumba kumbe
 
utakuwa unachagua ile mbaya, mara geuka hivi mara inama hivi mara nyoosha shingo vizuri nione kama una shingo, mara wewe mweusi nataka cheupe, mara nione mguu, kwa mtaji huu kupata wako itakuwa ngumu sana.
 
Changamoto nyingine ninayokumbana nayo ni kuwa " kila ninaye muona anafaa, nikimuapproach anadai yupo na mtu tayari" hapo ndo nachoka kabisa

hakuna mtu aliyeambiwa akae akusubiri wewe hilo ndo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…