kweli mi msukuma , nataman sana nimpate wangu
Pia unaweza kuwa na matatizo mawili, either una aibu kwa hawa bidadas au unachagua mno yaani ukumuona unamtafakari sana then unapotezea unaona km si yy yupo mwnywe. Kwn hata umuombe Mungu hawezi kktongozea, ila amekupa akili na utashi wa kutambua na kuchagua, just do it!
Kule kwetu nyanda za juu kusini mdesi maana yake mwongo....huwa napata kigugumizi kusoma post zako maana huwa nahisi ni za uongo lol...
28 sasa!
uGONILE NDAGA!???
Ndio maana nataka tumpe ushauri maana hata mimi msukuma,amejisifia ana vyote,ila wasukuma wenzangu nawajua
Tumia pesa,utampata yeyote unayemtaka.
Nimejaribu kufuatilia ushauri unaoutoa siku hizi, sikuelewi...pole mkuu punguza upole jitahidi kutongoza na uwe unadanganya kidogo.....una miaka mingapi?
ila wakati ukifika Mungu atakupa mwenzi tu
Nimejaribu kufuatilia ushauri unaoutoa siku hizi, sikuelewi...
pia kama ana gari siku moja moja panda daladala na treni mchanganyiko uko pia ni mkubwa.
Asante mdesi