Kwanini MillardAyo na Bongo5 hawatumii Adsense?

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
699
Reaction score
1,120
Moja ya blogs maarufu Tanzania ni Bongo5 na Millardayo.com. Ukiacha JamiiForums, blogs hizi nafikiri ndio zinafuatia kwa visitors ama views.

Ila ukiangalia hawatumii kabisa Adsense!! Ukienda blog ya LindaIkeji utakuta anatumia Adsense japokuwa ana matangazo mengine ya ziada.

Je wameona Adsense hailipi?
 
Kwani adsense wanaruhusu kushare? Sababu blogs za kibongo mtu anaeka matangazo 20
 
Rahatupu.blogspot.com ndiyo ya kwanza kuwa na visitor wengi baran africa lakini haina hata tangazo moja!

According to alexa
Rahatupu kwa dunia ni ya 158,128
Kwa tanzania ni ya 112

Hata top 100 kwa tanzania haipo.

Jf kidunia ni ya 14,203
Kwa tanzania ni ya 8

Kuna website kama za necta, tcu, ajira nk zina watu wengi sana
 
Rahatupu.blogspot.com ndiyo ya kwanza kuwa na visitor wengi baran africa lakini haina hata tangazo moja!
ile ni blog ya ufuska hivyo Adsense haikubali blog za porn,Fetish nk
NB:Siyo ya kwanza kwa visitors Tanzania
 
According to alexa
Rahatupu kwa dunia ni ya 158,128
Kwa tanzania ni ya 112

Hata top 100 kwa tanzania haipo.

Jf kidunia ni ya 14,203
Kwa tanzania ni ya 8

Kuna website kama za necta, tcu, ajira nk zina watu wengi sana

Nop,Necta na Tcu hazipo katika Top Ten.
1. Google.co.tz 2.Facebook.com 3.Wikipedia 4.Google.com 5.Instagram.com....
 
Kwani adsense wanaruhusu kushare? Sababu blogs za kibongo mtu anaeka matangazo 20

hawana sifa kulingana na policy za adsense. kama aliwahi omba zamani akanyimwa kwa sababu ya lugha kuomba sasa ni ngumu kidogo.lazima kuanzia katika foundation ikiwemo kuwa na template zinazotakiwa.

hivyo bongo na hao wengine hawana sifa
 
adsense wanaangalia vitu vingi sana,moja ni wao wanatumia kiswahili,google adsense hawana kiswahili
 
hawana sifa kulingana na policy za adsense. kama aliwahi omba zamani akanyimwa kwa sababu ya lugha kuomba sasa ni ngumu kidogo.lazima kuanzia katika foundation ikiwemo kuwa na template zinazotakiwa.

hivyo bongo na hao wengine hawana sifa
Kuna kipindi Bongo5 walikuwa wanatumia Adsense, suala la lugha sio ishu coz kuna viblog kibao vya kiswahili vina Adsense
 
Kwa lugha siyo tatizo sana tatizo matangazo ya adsense ni ya aina nyingi sana hivyo unakuwa unauza watazamaji wako
 
Hiyo ni mbinu tu ya biashara.Wengi wasiotumia AdSense hufanya vile ili website Zao zivutie watu wengi na zisiwe na kero za matangazo.
Hivyo ndivyo ninavyojua.
 
Hiyo ni mbinu tu ya biashara.Wengi wasiotumia AdSense hufanya vile ili website Zao zivutie watu wengi na zisiwe na kero za matangazo.
Hivyo ndivyo ninavyojua.
Website kubwa duniani zinatumia Adsense. Sijaona ambayo haitumii.
Dailymail.co.uk , BBC.COM ,SKY , CNN , Huffingpost, WikiHow nk. Si kweli kwamba Adsense haivutii au ni kero
 
Website kubwa duniani zinatumia Adsense. Sijaona ambayo haitumii.
Dailymail.co.uk , BBC.COM ,SKY , CNN , Huffingpost, WikiHow nk. Si kweli kwamba Adsense haivutii au ni kero
...sijakataa then tambua kuwa watu wengi wanachukia Ads..Hivyo sababu niliyoitaja ni Moja ya mbinu za kisasa ambazo zinatumiwa na wafanyabiashara wa mtandao kuongeza traffic..
Angalia blog ya jamaa mmoja anaitwa Pat Flynn..ni mmoja kat ya internet marketers na bloggers wenye mafanikio sana duniani...
Jaribu Ku Google Pat Flynn utapata info zake.(nimeisahau website yake)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…