Kwanini mikutano ya CCM wanajaa watoto wadogo?

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,016
>Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu, inamwonyesha Rais akizindua maji wilayani kwimba jijini mwanza.. Lakini cha kushangaza watoto ni wengi sana na wazee ni wachache! Vijana hakuna kabisa! Kulikoni ccm?
 
hiyo ni mbinu mpya ccm kwa taifa la zamani na la kesho
 
Kwani watoto wanaanzia umri gani? Na ukae ukijua hujatazama peke yako hata sisi tumetazama.... Porojo zako peleka huko kwa mkeo....
 
wote tumeona watt gani unazungumzia toa upuuzi wako hapa
 
>Shule nyingi wamefunga ndo maana hakukuwa na vijana! Nimeshangaa sana kwa kweli na si mara ya kwanza kwa mikutano au uzinduzi wa ccm kuwa na watoto kwa wingi!!
 
Kwani watoto wanaanzia umri gani? Na ukae ukijua hujatazama peke yako hata sisi tumetazama.... Porojo zako peleka huko kwa mkeo....

>Ushabiki wako unakufanya uufanye uwongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uwongo... Ukweli utabaki pale pale...

Jana tumeangalia uzinduzi wa mitambo ya kufua umeme watu walikuwa wengi..
Na huo wingi ulitokana na wabunge wa cdm kuwepo... Lakini leo walidoda!!
 
>Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu, inamwonyesha Rais akizindua maji wilayani kwimba jijini mwanza.. Lakini cha kushangaza watoto ni wengi sana na wazee ni wachache! Vijana hakuna kabisa! Kulikoni ccm?

Rais anaZIngua maji wilayani alafu unaitwa mkutano wa ccm .. Wawapi weye
 
mkuu bora umenitangulia kulizungumzia hili, maana bila watoto hakuna taifa kesho, na sifa moja wapo ya watoto ni uwezo wao mkubwa wa kutambua wanafiki, watoto ni wapenda amani, wakweli, wanajaa kwenye mikutano ya CCM maana wanajua ni chama chenye malengo mema kwa wanachi wake,wapenda kujifunza kutoka kwa wenye ubora, huwezi ona mtoto mahali penye wahuni, hawakai humo, si ajabu kukuta wavuta bangi na wanywa viroba kwenye mikutano ya cdm maana huko ndio mahali pake, nadhani umeona jinsi kiongozi wao alivyofanya bungeni, uhuni..
 
>Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu, inamwonyesha Rais akizindua maji wilayani kwimba jijini mwanza.. Lakini cha kushangaza watoto ni wengi sana na wazee ni wachache! Vijana hakuna kabisa! Kulikoni ccm?
Umbea huo wote tumeangalia acha kupotosha.
 
Wanaenda kucheza kiduku cha akina Diamond c unajua CCM bila wauza sura haendi mtu mkutanoni?
 
watakuwa walitangaziwa kuwa kutakuwa na uji na kucheza kiduku
 
>Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu, inamwonyesha Rais akizindua maji wilayani kwimba jijini mwanza.. Lakini cha kushangaza watoto ni wengi sana na wazee ni wachache! Vijana hakuna kabisa! Kulikoni ccm?

Kwa sasa nani mwenye akili zake timamu atakaejitokeza kusikiliza upuuzi wao?
 
Back
Top Bottom