Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,372
ngoja lumumba ije
Ila sasa kasi yao si kama ya zamani, cjui washazulumiana
ngoja lumumba ije
Huwa wanazoa watoto wa shule kwa lazma,
Mhuni nambari moko pale bungeni ni yule kijana wa kongwa aliyehamia Tabata. Yeye akikaa pale kwenye kitu anjisahau kabisa kwamba ni mtoto wa ombaomba kule Kongwa. Anatuvurugia bunge aendea akachunge ng'ombe kama wapo kongwa.mkuu bora umenitangulia kulizungumzia hili, maana bila watoto hakuna taifa kesho, na sifa moja wapo ya watoto ni uwezo wao mkubwa wa kutambua wanafiki, watoto ni wapenda amani, wakweli, wanajaa kwenye mikutano ya CCM maana wanajua ni chama chenye malengo mema kwa wanachi wake,wapenda kujifunza kutoka kwa wenye ubora, huwezi ona mtoto mahali penye wahuni, hawakai humo, si ajabu kukuta wavuta bangi na wanywa viroba kwenye mikutano ya cdm maana huko ndio mahali pake, nadhani umeona jinsi kiongozi wao alivyofanya bungeni, uhuni..
>Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu, inamwonyesha Rais akizindua maji wilayani kwimba jijini mwanza.. Lakini cha kushangaza watoto ni wengi sana na wazee ni wachache! Vijana hakuna kabisa! Kulikoni ccm?
hapo ndipo mtakubali maneno ya Gogo la Shamba kila siku ninawaambieni kwamba ccm imebaki na viongozi tu, haina wanachama na kama kuna wanachama ni wale ambao wanahakikisha wanapata kitu kidogo hata ikiwa kazi inayotakiwa kufanywa ni ya kujitolea>Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu, inamwonyesha Rais akizindua maji wilayani kwimba jijini mwanza.. Lakini cha kushangaza watoto ni wengi sana na wazee ni wachache! Vijana hakuna kabisa! Kulikoni ccm?
wote tumeona watt gani unazungumzia toa upuuzi wako hapa
mkuu bora umenitangulia kulizungumzia hili, maana bila watoto hakuna taifa kesho, na sifa moja wapo ya watoto ni uwezo wao mkubwa wa kutambua wanafiki, watoto ni wapenda amani, wakweli, wanajaa kwenye mikutano ya CCM maana wanajua ni chama chenye malengo mema kwa wanachi wake,wapenda kujifunza kutoka kwa wenye ubora, huwezi ona mtoto mahali penye wahuni, hawakai humo, si ajabu kukuta wavuta bangi na wanywa viroba kwenye mikutano ya cdm maana huko ndio mahali pake, nadhani umeona jinsi kiongozi wao alivyofanya bungeni, uhuni..