Kwanini michezo ya mapigano (masumbwi) ni marufuku Zanzibar?

Kila nchi Ina michezo yao ya asili au ilizoiga kutoka sehemu zingine duniani
Kuna nchi hatujui kucheza cricket na wengine wanacheza Bowl wakati sisi tukiletewa tutasema mchezo wa wazee

Sababu eti vijana watapata ajira sasa kama ni mpiganaji kwanini asipiganie Dar? Maana ni nyumbani pia

Ila kuhusu marufuku ya Marehemu yeye alifuata Dini zaidi maana inakatazwa kumpiga mtu kichwani maana kuna madhara zaidi na kiujumla kupigana sio vizuri

Kuna michezo mingi sana duniani mbona tunashindwa kushiriki duniani ?
 
Kwanini? Vitabu vya dini vinapinga kuingiliana kinyume na maumbile,ushoga na usagaji “ Kuna mambo sio ya kujaribu kabsa
 
Kila nchi Ina michezo yao ya asili au ilizoiga kutoka sehemu zingine duniani
Kuna nchi hatujui kucheza cricket na wengine wanacheza Bowl wakati sisi tukiletewa tutasema mchezo wa wazee

Sababu eti vijana watapata ajira sasa kama ni mpiganaji kwanini asipiganie Dar? Maana ni nyumbani pia

Ila kuhusu marufuku ya Marehemu yeye alifuata Dini zaidi maana inakatazwa kumpiga mtu kichwani maana kuna madhara zaidi na kiujumla kupigana sio vizuri

Kuna michezo mingi sana duniani mbona tunashindwa kushiriki duniani ?
Huo mchezo n hiari ya mtu lakin huwa halazimishwi
 
Sio ngumi tu hata mashindano ya U-miss hamna kwa Zanzibar.

Tukirudi kwenye mada hivi bondia ale urojo ataweza kweli kupambana na anayekula dona?
Eti urojoooo...!
IMG_20220105_224937.jpg
 
Back
Top Bottom