Kwanini mganga anampa mtu utajiri halafu yeye ni masikini wa kutupwa?

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,910
6,704
Sababu kubwa kuliko zote mganga anajua madhara ya hela za masharti, kwahiyo hawezi kuhatarisha maisha yake na familia yake!!¡

Ukienda kwa mganga unataka utajiri cha kushangaza yeye hana hata mbuni!
Anachofanya mganga anakuwa kama dalali wa kukuitia majini watakaokupa huo utajiri kwa masharti watakaopanga wao!!!

Kama unavyojua dalali lazima umlipe kwa kazi anayokufanyia ya kukurahisishia unachokitaka mganga naye utamlipa kulingana na mtakavyokubaliana.

Jini naye atahitaji malipo kumbuka yeye hahitaji pesa anazo za kutosha malipo yake anaweza dalali (mganga) asikuambia lakini utajua tu. (hakuna cha bure).

Kwahiyo mganga atawasiliana na majini popote walipo na kuwaambia kuna mtu anataka hela zenu, atajitokeza jini ambaye atatoa hela maelekezo yote yatàpitia kwa mganga yaje kwako na wewe utatekeleza maagizo yote ambayo huyo jini atayasema.

Baada ya kukubaliana na matakwa ya jini na kuyafanyia kazi, utaanza kupata mihela na baada ya hapo utaona mabadiliko makubwa katika maisha yako, mara umefiwa na mama mara umefiwa na mtoto mara unatakiwa kuua ndugu mmoja kila mwaka na mengineyo!!!

Kuna watu wanalala kwenye majeneza na vitimbi vya kila aina, hata ukirudi kwa mganga kuomba avunje mkataba huwa ngumu sana!!!
 
Hata Mwalimu aliyekufundisha shuleni ulimwacha pale pale, sio kwamba yeye hana akili.
Ni sawa na wale jamaa wanaowavusha wasafiri kwenye maji -- mtoni, ziwani, ama baharini -- japo wasafiri wanaendelea na mwendo wao wa mbali, wao wanabaki palepale kuwavusha wengine. It is foolishness of infinite magnitude kudhani kwamba wao HAWAWEZI KUSAFIRI au kwamba hawana akili. Hii ndiyo sababu madaktari na walimu wanapaswa kula mkwanja mnono kuliko ule wa Joe Biden & Kamala Harris. Niongeze volume, au!???
 
Tunazihitaji pesa ili tuweze kufanya manunuzi mbalimbali ssa yeye bila hata pesa anayapata bure kabisa tena at a click
Nilijuaga Mshana Jr ni bonge la mtu mwenye akili & intelligence :) , kumbe siku zinaenda kasi sana jamani. Ila tusihukumu haraka huenda ni side effects (matokeo kando :) ) ya corona!???
 
Back
Top Bottom