Kwanini mchina anatangaza bidhaa zake kuliko mjapani?

SPECIAL TMN

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
1,111
807
Habari wanaJF, Je ni kwanini MCHINA anatangaza bidhaa zake sana tena kwa kila nchi kuliko MJAPANI? Na kama ni quality ya bidhaa je, MJAPANI hana Quality?

Kwa mfano Simu za mkononi mjapani hatengenezi simu? Na kama anatengeneza ni zipi na ni aina gani?

Nawasilisha.
 
Last edited by a moderator:
Habari wanaJF, Je ni kwanini MCHINA anatangaza bidhaa zake sana tena kwa kila nchi kuliko MJAPANI? Na kama ni quality ya bidhaa je, MJAPANI hana Quality? Kwa mfano Simu za mkononi mjapani hatengenezi simu? Na kama anatengeneza ni zipi na ni aina gani? Nawasilisha.
Jibu simple ni kwamba kwa sasa China ni nchi ya viwanda zaid kuliko Japan ingawaje wote uchumi wao umekuzwa na viwanda lakini China amefunguliwa milango na nchi nyingi sana hivo automatically lzm azid kuzitangaza bidhaa zake
 
Hivi ni kweli JAPAN Hana vitu original? Na kama ni kweli ni vitu gani?
 
Habari wanaJF, Je ni kwanini MCHINA anatangaza bidhaa zake sana tena kwa kila nchi kuliko MJAPANI? Na kama ni quality ya bidhaa je, MJAPANI hana Quality? Kwa mfano Simu za mkononi mjapani hatengenezi simu? Na kama anatengeneza ni zipi na ni aina gani? Nawasilisha.

...Inategemea unaongelea bidhaa gani. Aina ya soko la bidhaa nayo inahusika. Kama ni Ulaya, Marekani, au Asia. Kuhusu suala la ubora wa bidhaa, yeye ni mmoja wa watu wanaoongoza kwenye ubora wa bidhaa duniani, kwa miaka mingi sasa.

...Nadhani unafahamu au umeshaona simu inayoitwa Sony. Nyingine ni Sharp, Panasonic, NEC na Fujitsu, na hizi hutumika zaidi kwao huko. Sony inauzwa duniani kote.

...As a side note, nadhani unafahamu ubora wa magari ya Kijapani ambayo yamejaa kwenye barabara zetu.
 
Japan walishazidiwa na kupitwa mbali sana na China, Kwa sasa katika soko la Afrika Mchina ndiyo amelishika, Uchumi wa japan hauwezi kufikia uchumi wa China, china ni mzalishaji mkumbwa wa bidhaa za kila grade na wanakutengenezea kulingana na uwezo wako wa kifedha. Kwa sasa Japan wamebaki na soko la magari ya mitumba(used cars) hiyo ndo bidhaa wanayotegemea kuuza katika soko la Afrika.
 
Ulishawahi kujiuliza kwanini huyaoni magari mengi ya mchina barabarani?!
Kwa sababu mchina n right hand driving country, hatuwez nunua used unless tunataka original tofaut na gari za mjapan
 
Japan walishazidiwa na kupitwa mbali sana na China, Kwa sasa katika soko la Afrika Mchina ndiyo amelishika, Uchumi wa japan hauwezi kufikia uchumi wa China, china ni mzalishaji mkumbwa wa bidhaa za kila grade na wanakutengenezea kulingana na uwezo wako wa kifedha. Kwa sasa Japan wamebaki na soko la magari ya mitumba(used cars) hiyo ndo bidhaa wanayotegemea kuuza katika soko la Afrika.

Waafrika wanapenda vitu vya bei rahisi hafu feki Mjapani hapendi longolongo ndo maana hata pikipiki bei ya nchi ni mara 6 ya bei ya mjapani. nk.
 
Mjapani hana teknolojia inayoweza kumzidi mchina kwa sasa. Historia inaoyesha kuwa Wingereza na Japan ndiyo mataifa yaliyokuwa yanaongoza dunia katika nyanja za kiuchumi,viwanda,kisiasa,kidiplomasia na kijamii. baada ya muda wakaanguka kabisa na kutoa fursa kwa kuibuka kwa Marekani kuwa mtawala wa dunia. Japan iliitawala China, wingereza iliitawala marekani lakini sasa Japan na Wingereza zipo wapi? Marekani na China ndiyo wanaongoza uchumi wa dunia, kwa upande wa ulaya ujerumani ndio wanaongoza uchumi wa ulaya. Ni kweli kuwa Mchina anatengeneza bidhaa za grade tofautitofauti kulingana na uwezo wa mnunuzi, kwahiyo mchina anateknolojia yenye gharama nafuu katika kuzalisha bidhaa ndo maana hata akiuza kwa bei ya chini anapata faida wakati mjapani yeye anatumia teknolijia ya gharama kwa hiyo hawezi kuuza bidhaa kwa bei ya chini, ndo maana akapitwa na mchina kwenye soko la Afrika. Swala la bidhaa feki ni jukumu la mamlaka za serikali husika.
 
Mchina ni mtu wa kutoa kopy (kudurufu) ndo maana teknolojia ya vitu ambavyo vinatengenezwa na kampuni ya kichina (pure) siyo durable
 
No kweli uchumi wa japani umetetereka Siku za karibuni ila sitaki kuamini kwamba China inaizidi Japan kiteknolojia na isitoshe japani amewekeza pia China ktk sekta ya viwanda mfano Toshiba kampuni ya kutengeneza kompyuta ambazo huku pia zinapatikana kwa wingi Casio electronic watengenezaji wa hizi scientific calculators ambazo pia zimejaa huku bongo na nyinginezo.
 
kwani mchina hauzi bidhaa kwenye masoko ya ULAYA na marekani? huko pia anauza visivyo na ubora kama kwenye soko la Afrika? Afrika imekuwa ni dampo la bidhaa zisizo na ubora kwa sababu ya rushwa, uchache wa wataalamu, kukosa viwanda,usimamizi mbovu wa sheria, kupenda kununua vitu bila kuangalia ubora sisi tuna angalia bei tuu.
 
Bidhaa zinazouzwa Ulaya kutoka china nyingi niza makampuni ya kigeni yaliyowekeza Uchina nazani umenielewa
 
No kweli uchumi wa japani umetetereka Siku za karibuni ila sitaki kuamini kwamba China inaizidi Japan kiteknolojia na isitoshe japani amewekeza pia China ktk sekta ya viwanda mfano Toshiba kampuni ya kutengeneza kompyuta ambazo huku pia zinapatikana kwa wingi Casio electronic watengenezaji wa hizi scientific calculators ambazo pia zimejaa huku bongo na nyinginezo.
Ebu angalia nchi kumi zenye uchumi mkubwa kutoka data za 2015 CNN Money wanaripoti hebu angalia hapo Japan wamezidiwa kiasi gani na China? Yani wamezidiwa kwa GDP 7 tirillions USD Hii ni kutetereka ama kuanguka?
1. USA GDP in trillions of U.S. dollars 18.1
2. China GDP in trillions of U.S. dollars 11.2
3. Japan GDP in trillions of U.S. dollars 4.2
4. Germany GDP in trillions of U.S. dollars 3.4
5. UK GDP in trillions of U.S. dollars 2.9
6. France GDP in trillions of U.S. dollars 2.5
7. India GDP in trillions of U.S. dollars 2.3
8. Brazil GDP in trillions of U.S. dollars 1.9
9. Italy GDP in trillions of U.S. dollars 1.8
10. Canada GDP in trillions of U.S. dollars 1.6

Source: The new global economy - CNNMoney
 
Last edited:
Natamani iwe kati ya tanzania na china au tanzania na japan, labda itakuwa hivyo karbuni kwani mojawapo ya ahadi ya rais ni kuifanya tanzania iwe nchi ya viwanda. ila sijajua ni viwanda vya aina gani.
 
Hapo katika GDP ya china tuna mchango wetu
 
Natamani iwe kati ya tanzania na china au tanzania na japan, labda itakuwa hivyo karbuni kwani mojawapo ya ahadi ya rais ni kuifanya tanzania iwe nchi ya viwanda. ila sijajua ni viwanda vya aina gani.
Wee unautani eti unataka ulinganishe Tanzania (nchi masikini kabisa) na China au Japan (nchi tajiri zenye viwanda na teknolojia). sisi tulinganishe na Rwanda, Malawi, Zambia Togo, Burundi, Uganda, Gambia, Comoros ...nk. lakini hatustahili hata kujilinganisha na Nigeria, Afrika Kusini, Misri, Algeria,Morocco,Kenya,Angola..
 
Back
Top Bottom