Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 5,165 Reaction score 8,959 Mar 17, 2025 #1 Akikukuta una mamilioni yako ataondoka bila kuchukua hata mia. Kwanini? Au mchawi hapendi pesa aka chapaa aka maokoto?
Akikukuta una mamilioni yako ataondoka bila kuchukua hata mia. Kwanini? Au mchawi hapendi pesa aka chapaa aka maokoto?
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 3,476 Reaction score 6,467 Mar 17, 2025 #3 Nasubili majibu
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,437 Reaction score 35,963 Mar 17, 2025 #4 UCHAWI WENYE NGUVU YA KUIBA KIMIUJIZA HAUPO
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,467 Mar 17, 2025 #5 Wangekuwa wanaiba pesa uchawi ungekuwa dili kungekuwa na uchawi feki sana
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 1,193 Reaction score 2,789 Mar 17, 2025 #6 Juzi juzi walitaka kuiba umeme Tanesco wakaanguka uchi wa mdudu Inawezekana wachawi hawana technolojia ya wizi bado.πππ
Juzi juzi walitaka kuiba umeme Tanesco wakaanguka uchi wa mdudu Inawezekana wachawi hawana technolojia ya wizi bado.πππ
Kibua JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 660 Reaction score 1,851 Mar 17, 2025 #7 Hujasikia kuhusu chuma ulete
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,107 Reaction score 55,524 Mar 17, 2025 #8 Uchawi ni uchafu, na unaishi kwenye uchafu
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 5,165 Reaction score 8,959 Mar 17, 2025 Thread starter #9 No Internet said: Ngoja waje Click to expand... nani? wachawi au?
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 5,165 Reaction score 8,959 Mar 18, 2025 Thread starter #10 Masagala said: Nasubili majibu Click to expand... sawa nawew unaweza kutia neno
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,634 Mar 19, 2025 #11 Braza Kede said: Akikukuta una mamilioni yako ataondoka bila kuchukua hata mia. Kwanini? Au mchawi hapendi pesa aka chapaa aka maokoto? Click to expand... Kwani chuma ulete nayo huifahamu?
Braza Kede said: Akikukuta una mamilioni yako ataondoka bila kuchukua hata mia. Kwanini? Au mchawi hapendi pesa aka chapaa aka maokoto? Click to expand... Kwani chuma ulete nayo huifahamu?
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,634 Mar 19, 2025 #12 Driver proffesional said: Juzi juzi walitaka kuiba umeme Tanesco wakaanguka uchi wa mdudu Inawezekana wachawi hawana technolojia ya wizi bado.πππ Click to expand... Chuma ulete.
Driver proffesional said: Juzi juzi walitaka kuiba umeme Tanesco wakaanguka uchi wa mdudu Inawezekana wachawi hawana technolojia ya wizi bado.πππ Click to expand... Chuma ulete.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,634 Mar 19, 2025 #13 FRESHMAN said: UCHAWI WENYE NGUVU YA KUIBA KIMIUJIZA HAUPO Click to expand... Chuma ulete
Manyahe JF-Expert Member Joined Mar 17, 2023 Posts 622 Reaction score 1,052 Mar 19, 2025 #14 Ata kula wakikuta wanakula ila kuiba fedha kwao ndo ngumu na nawaahidi siku wakiipata iyo teknolojia mimi nitakuwa mchawi hata kwa kununua
Ata kula wakikuta wanakula ila kuiba fedha kwao ndo ngumu na nawaahidi siku wakiipata iyo teknolojia mimi nitakuwa mchawi hata kwa kununua
mlinzi mlalafofofo JF-Expert Member Joined Apr 20, 2008 Posts 762 Reaction score 1,400 Mar 27, 2025 #15 Manyahe said: Ata kula wakikuta wanakula ila kuiba fedha kwao ndo ngumu na nawaahidi siku wakiipata iyo teknolojia mimi nitakuwa mchawi hata kwa kununua Click to expand... wanga wangeweza kuiba pesa izi benki zote zingeshafungwa zamani sana
Manyahe said: Ata kula wakikuta wanakula ila kuiba fedha kwao ndo ngumu na nawaahidi siku wakiipata iyo teknolojia mimi nitakuwa mchawi hata kwa kununua Click to expand... wanga wangeweza kuiba pesa izi benki zote zingeshafungwa zamani sana