Kwanini matajiri wengi wana 'wadudu'?

Kwanini matajiri wengi wana 'wadudu'?

Totoz zinashoboka, sasa kwa nini kidume usitembeze bakora?,kwa mimama,vijana wapenda kitonga wanapewa stahiķi yao..fimbo msagulano.
 
Sijajua kwanini…

Matajiri wengi sana wana wadudu, si wababa, na si wamama ! Ukiona tajiri anakushobokea, jiangalie sana…

Kiukweli maatajiri wengi wana ' wadudu ' wa hatari sana… magonjwa magonjwa jamani…

Weekend njema…
itakuwa kunguni mkuu ndio hao wadudu unaozungumzia?
 
Nimekumbuka masharti niliyopewaga na mahilile mtaalamu kunako pembezoni mwa mto chinyasungwi
 
Mada hizi za kipashkuna zinaishushia hadhi JF

Ni kama wakina mama wakiwa vibarazani wakipiga umbeya.....

Huu ugonjwa haupimwi kwa macho bali kwa vipimo vya kitaalamu!!!!....

Let's us discuss issues with facts and evidence

JF ni jukwaa lenye kuheshimika kwa habari za ukweli na uhakika!!!! Na kisima cha maarifa

Home of Great Thinker
 
Samahani kwa watakaokwazika

Mzee baba naona umeandika kwa hasira kubwa ukaposti mara tatu.

Ni kweli kabisa siku hizi habari huku jf zimekuwa nyepesi sana. Mataokeo ya elimu ya Ualimu Pasipo Elimu.
 
Hao wako Karibu zaidi na Grid ya Taifa kwa Vile Umeme ni Pesa na Pesa wanazo ivo ni rahsi kwa Wao Kuugwa kwenye grid na Kuwaunga wapendwa wao pia
 
Back
Top Bottom