Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,809
Jamani nimekuwa nikifuatilia mashindano ya Afcon mara nyingi hufanyikia Gaboni.sababu hasa ni nini mbona miundombinu yao kama viwanja ni ya kawaida?
Mwaka gani tena waliwahi pewa uenyeji mkuu?Jamani nimekuwa nikifuatilia mashindano ya Afcon mara nyingi hufanyikia Gaboni.sababu hasa ni nini mbona miundombinu yao kama viwanja ni ya kawaida?