Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,542
- 28,802
Kwa nini YouTube, Google, WhatsApp, Facebook na X/Twitter zimepigwa pini China??
Kwa nini YouTube, Google, WhatsApp, Facebook na X/Twitter zimepigwa pini China??
Hivi vijana wetu wanaenda China mbona output yao kwenye teknolojia hatuzioni?Naunga mkono hoja China ndio yupo juuu na propaganda za kuwadumaza Wachina zimeshindwa !!!!!
China ni kila kitu..
Wazungu wajiandae kwenda kupewa kazi za kufua nguo za Wachina mana wamedhidiwa Elimu. !!!!
Shubamit!!! Ulimwengu umebadilika Yajayo yanafurahisha !!
Nakumbuka hii mada Wamarekani wa Buza walibisha sana kwenye jukwaa la tech kuhusu ubora wa Ascend
Hilo tangazo la Marekani kuyaonya mataifa mengine ni wazi wameona kuwa moto wa Huawei kwenye A.I processor utawapoteza
Kwa sababu ni kampuni kubwa ya kiteknolojia China na duniani kwa ujumla.
Hivi vijana wetu wanaenda China mbona output yao kwenye teknolojia hatuzioni?
Wanaokwenda masomoni.Unazungumzia vijana gani?
Wanaokwenda masomoni.
Marekani kwa sasa kwenye free and fair trade hayupo kabisaWalikuwa wanabisha kitu wasichokujua sio kosa lao.
Jiulize kwa nini serikali ya Marekani imepitisha sheria ya hakuna kununua Huawei chips wakati Trump akiwa Mashariki ya Kati?
Saudi Arabia na UAE zinaunda vituo vikubwa vya data, ambavyo vitahitaji millions of GPUs.
Ndio maana Trump kwenye ziara yake Middle East alikuwa na CEOs wa kampuni kubwa za tech kama Nvdia
Anajua China ndio taifa pekee litacompete naye kwenye soko hilo la Middle East inapokuja kwenye AI na GPUs
Miaka hii kuhujumu wengine ili kushinda ndio siri ya Marekani ya kibiashara, ile free trade aliyokuwa akiihubiri kwenye majukwaa ya kimataifa miaka ya 1970s kushuka chini hana tena