Kwanini mapenzi yapo hivi?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Yule ambaye una malengo naye ndo anaye sumbuwa akili yako na kukupa stress kila kukicha

Na yule ambaye huna malengo naye ndo mwenye mapenzi ya kweli kwako
 
Nakusihi weka malengo kwa huyo ambaye unaona huna malengo nae. Atakufaa zaidi kuliko kufosi mapenz
Kama wewe humpendi utamtesa tu mtoto wa watu.
Hutaiona thamani yake kwako. Na atajua tu kua hapendwi.

Ni bora umuache usije jitaftia balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…