Kwa Tanzania maofisi mengi sana hupendelea kutumia computer za Dell, je ni nini hasa kilichosababisha Dell ikubalike zaidi kwa shughuli za maofisini?
mimi naona dell imesambaa sana hapa kwetu kutokana na sababu zifuatazo
1.Dell ni rahisi kwa bei kulinganisha na suppliers wengine
2.drivers na software za dell,ni compatible kwa dell za model tofauti.
3.Dell wana hardware assurances,yaani ukinunua dell-latitude,dell-vostro,optiplex..et al.....zinaingiliana vifaa,kama wireless cards,motherboard,n.k
4.dell wana customer support nzuri mno
from the above reasons,naomba nielezee hoja yangu,katika makampuni,its the IT manager ambaye anaamua ni brand gani itumike,na yeye hupeleka mawazo kwa procurement/supplies department ili waweze kununua.kwa ajili ya dell kuwa ni rahisi ku-repair,na vifaa vyake vinaingiliana,vinadumu,na wanapata support kukiwa na tatizo.basi unakuta IT managers wa makampuni makubwa wananunua reputable computers from a reputable company,,,,,kampuni zingine zinazoongoza kuwa katika maofisi hapa bongo ni HP,Lenovo na mac
Toshiba ni rahisi kuliko DELL
Kwa Tanzania maofisi mengi sana hupendelea kutumia computer za Dell, je ni nini hasa kilichosababisha Dell ikubalike zaidi kwa shughuli za maofisini?
Kweli Tanzania ni ajabu jipya la ulimwengubiashara ya mtu hiyo stock bado haijaisha tutabadilisha...
Si wana jengo jipya hapo Kinondoni mtaa wa Mwindu Line?Kuna maofisa waandamizi watatu ambao walikuwa wakifanya kazi BOT walianzisha kampuni yao inaitwa Infosisy wakawa Authorized dealer wa Dell hapa Tanzania. Walifanikiwa kuchukua tende za kusupply computers kwenye taasisi za serikali, mabenki. Moja wa wamiliki wa kampuni hiyo ni Mh Kitwanga ambaye sasa ni Naibu waziri Sayansi na Teknologia. Nadhani mnafahamu Infosisy House iliyoko hapo Dar.
Si wana jengo jipya hapo Kinondoni mtaa wa Mwindu Line?
mi ni mwajiriwa wa Nape, nalipwa kwa kushinda JFYap, hivi Bujibuji unapiga mzigo saa ngapi maana naona muda mwingi uko JF
Yap, hivi Bujibuji unapiga mzigo saa ngapi maana naona muda mwingi uko JF
Great, stupid question always deserve stupid answer.mi ni mwajiriwa wa Nape, nalipwa kwa kushinda JF
Na wewe use ur common sense, inawezekana vipi ukaweza kumuona mtu yuko JF muda mwingi kama na wewe huwa haupo online?Labda kazi yake inahusika na computer na mambo ya IT..
Labda kazi yake inahusika na computer na mambo ya IT..
Na wewe use ur common sense, inawezekana vipi ukaweza kumuona mtu yuko JF muda mwingi kama na wewe huwa haupo online?
Na wewe muda huo wote huwa unakuwa wapi?Kwahiyo kama kazi yako ni IT na computer ndio muda wote uwe JF?
Great, stupid question always deserve stupid answer.
Unaingia JF online kum spy Bujibuji au kushiriki mijadala na Members humu?Hakuna siku niliyoingia online nikamkosa kweli
Na wewe muda huo wote huwa unakuwa wapi?
Unaingia JF online kum spy Bujibuji au kushiriki mijadala na Members humu?