Kanunu zilishabadilishwa mkuuNimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty.
Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani.
Au kanuni zimeshabadilika
Kwani ungemjibu tu swali lake kistaarabu ungepungukiwa nini?Wajinga mko wengi.
Tokea 2021 hukoKuanzia uefa ya mwaka jana
Tulia uto keshokutwa tukunyooshe...Huyu ni Mbumbumbu wasioelewa
So mwaka huu tangu mashindano ya UEFA msimu uliopita hakuna advantage ya goli la ugenini kama ilivokua kombe la dunia miaka ileee taifa lililokua linaanda mashindano lilkua linaanzia robo fainali🤞🏽Sheria ya goli la ugenini ilifutwa na UEFA kwa mwaka huu
Kwani laxima umjibu jwa kejrli. Ustaarabu ungekaa kimya au ungemjibu kwa nini ametolewa. Usemi wa mwanasayansi maarufu Albert Einstein: Always ask questions.Wajinga mko wengi.
Bora lingebaki tu,game ya kwanza imeisha 3-3 Yani kwa lugha nyingine Kama wametoka 0-0 tu,Ina maana gani??tupambane ugenini tupate 3 halafu tunarudi home tunaanza na 0??Wakati tunaongelea sheria ya goli la ugenini kuondolewa UEFA tusiusahau pia mchango wa Arsene Wenger katika hilo.
Kiukweli mi mwnyw nilipinga, ila Sasa tunashuhudia mpira wa kibabe kwelikweli, sio kucheza kihuni huniwenger apewe maua yake kwa kuipigia kelele uefa mpaka ikaachana na ujinga wa away goal.
Nani ataipigia kelele caf iachane na huo ujinga pia?
We hujui mpira..endelea kufwatilia simba na yangaNimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty.
Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani.
Au kanuni zimeshabadilika
SahihiWakati tunaongelea sheria ya goli la ugenini kuondolewa UEFA tusiusahau pia mchango wa Arsene Wenger katika hilo.
UEFA sio Afrika na ujinga wenu wa hovyo.Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty.
Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani.
Au kanuni zimeshabadilika
Wewe weka jibu bila negativity.UEFA sio Afrika na ujinga wenu wa hovyo.
Hakika maisha magumu sana na yanaleta hasira. Yaani ulivyojibu kwa mahasiri utafikiri nilikutukana.We hujui mpira..endelea kufwatilia simba na yanga
Hapo kukujibu ni sawa na kukuambia Rais wa Tanzania ni nani.Wewe weka jibu bila negativity.
hata uefa wamefanya huo ujinga miaka mingi tu, sema watu wenye akili wakaupigia kelele huo ujinga uefa wakaachana nao, kimsingi sioni mantik ya caf kuendelea kung'ang'ana na upuuzi unaoitwa away goal sijui, mtu apite kwa alichovuna sio kwa upendeleo wa fvckn away goalUEFA sio Afrika na ujinga wenu wa hovyo.
Muelekeze tu kiustaraabu kuwaWajinga mko wengi.