kinyanyamba
Member
- Apr 10, 2012
- 96
- 13
ukiiona asilimia 80 utaijua fanya tafiti kwanzanimekwambia asilimia 80
Acha umbea wewe mtoto wa kiume, tutajie hayo majina ya hao mamiss 80% walioficha majina yao ya ubini.wanajamii naomba mfanye uchunguzi kwanini mamiss wa bongo siku hizi hawapendi kutumia majina ya ubini
ya kilugha. asilimia 80 ya mamiss wanaficha majina yao ya kilugha. je ni kufagilia uzungu ama ndo wanahisi wakienda mbele wataonekana wenzao?.
Mtu kama huthamini chako unashindwa na mnyama wa porini.wanajamii naomba mfanye uchunguzi kwanini mamiss wa bongo siku hizi hawapendi kutumia majina ya ubini
ya kilugha. asilimia 80 ya mamiss wanaficha majina yao ya kilugha. je ni kufagilia uzungu ama ndo wanahisi wakienda mbele wataonekana wenzao?.
wanajamii naomba mfanye uchunguzi kwanini mamiss wa bongo siku hizi hawapendi kutumia majina ya ubini
ya kilugha. asilimia 80 ya mamiss wanaficha majina yao ya kilugha. je ni kufagilia uzungu ama ndo wanahisi wakienda mbele wataonekana wenzao?.
Kwani mtu akificha jina la kulugha inakuuma nini?Kama mimi naitwa NYEGETATU SAANANE na nikiamua kutotumia majina hayo kuna ubaya gani?
Tuambie la kwako kwanza halafu tujadili vizuri.[/QUOTE]hehe unaongelea wa miss wa nchi gani hao ?au screen ya computa yako ni ndogo ?
Kwani wewe upo nchi gani?Kwani mtu akificha jina la kulugha inakuuma nini?Kama mimi naitwa NYEGETATU SAANANE na nikiamua kutotumia majina hayo kuna ubaya gani?
Tuambie la kwako kwanza halafu tujadili vizuri.[/QUOTE]hehe unaongelea wa miss wa nchi gani hao ?au screen ya computa yako ni ndogo ?