SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
mi nishajiuliza sana kwanini watoto wanazaliwa na kucha? halafu unakuta zimekomaa kweli nyeusii na uchafu kibao!!!
kwani huwa kuna kujikuna huko tumboni?
Mmmmmmh mkuu hiyo taarifa au jibu
mi nishajiuliza sana kwanini watoto wanazaliwa na kucha? halafu unakuta zimekomaa kweli nyeusii na uchafu kibao!!!
kwani huwa kuna kujikuna huko tumboni?
ok ukipata taarifa tafadhali tujuzeIlo cjawai kuwa na uzoefu nalo.
Mama wakwe wengi kutoka makabila mengi kama siyo yote hapa Tanzania wana tabia ya kuangalia watoto wachanga wanapozaliwa viungo vyake vya mwili kama kucha, vidole, miguu, mikono nk, Lakini huwa wanaangalia zaidi kucha na vidole vya miguu na mikono kuliko viungo vingine. Mama wakwe hawa ni wamama wa mume wa mtu. Nilijaribu kuwauliza baadhi yao lkn hawakunipa majibu ila wanasifia tu mtoto ni mzuri, mwenye kujua siri hii tafadhali atujuze ili tuelimike wote, Asante
ningejua ni kwanini nisingeuliza humu, bali ningeileta kama elimu humu JFMuulize mama yako kwani na yeye si mama mkwe? Kama siyo hata shangazi yako ama ma mdogo/mkubwa. Akujuze huwa wanatazama nini
ningejua ni kwanini nisingeuliza humu, bali ningeileta kama elimu humu JF
Most of them wanahakiki kama mtoto ni wa mwanae au kachakachuliwaningejua ni kwanini nisingeuliza humu, bali ningeileta kama elimu humu JF
ok, nashukuru kwa taarifa Evelyn, kwa hiyo kucha ni kama DNA yao nn?Most of them wanahakiki kama mtoto ni wa mwanae au kachakachuliwa
sipendi hiyo tabia mie
nashukuru sana kwa elimu ninayozidi kupata humu JFKucha ni sawa na DNA walizotumia wazee kipind hicho hat kwa sasa mama mkwe hasa wa kijijin mkimpokea mjuukuu cha kwanza ni kucha za miguu..
Vipingili na kucha unatambua kama mjukuu wake or laa.
kujua elimu mmbadala ni raha sana huku kwenye jamii, nakushukuru mkuuWengi wao wanakuwa wanakumbuka jinsi muundo wa vdole vya watt wao wakat wamezaliwa so kuangalia hyo ni kama kumbukumbu fulan inayoconnect uzao wake na huo uzao wa mwanae.....
nashukuru sana kwa elimu ninayozidi kupata humu JF
Haswaaa mtu akijifungua tu hao nduki kuja kumfunua mtoto khangaok, nashukuru kwa taarifa Evelyn, kwa hiyo kucha ni kama DNA yao nn?
hiyo safi sana, lakini bahati mbaya sina mama, alishatangulia mbele za hakiKama umeoa mkuu kaa na mama yako muulize taratibu atakuonyesha connection ya kucha zako na za mwanao.
Mkeo hawez kucheat ndo mana wazee wa zaman waliweza kujua haya mambo
Wengi wao wanakuwa wanakumbuka jinsi muundo wa vdole vya watt wao wakat wamezaliwa so kuangalia hyo ni kama kumbukumbu fulan inayoconnect uzao wake na huo uzao wa mwanae.....