Kwa nini hakumuita sheikh mkuu wa Dar es Salaam ai Mufti Mkuu?Nitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...
Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....
na sio mara moja........
Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili
ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...
kumbe je?!!!Kwa hiyo kuna madaraja ya watuhumiwa?
status zinaangaliwa kwanza?
Mtoa mada sio kila MTU tu ataitwa hata kama aliwahi kuongea suala hilo.Nitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...
Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....
na sio mara moja........
Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili
ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...
Wewe hii ndo serikali. huku hakuguswi wewe. Hakuna Wa kujaribuNitoe tu angalizo ...kwamba mimi binafsi siamini Askofu Pengo anaweza kujihusisha na biashara ya madawa.....kama ambavyo siamini Yusuph Manji kufanya biashara hiyo...
Lakini kuhusu Askofu Pengo mtakumbuka haya yeye mwenyewe amewahi kuzungumzia juu
ya yeye kuhusishwa na uzushi huuu....
na sio mara moja........
Sasa kwa kuwa wote waliowahi kutajwa kuhusika wanaitwa ili watoe maelezo yao huko
polisi....na wasiouhusika wanaachiwa......nimebaki na swali hili
ambalo hata Manji aliuliza ....Why Pengo hakuitwa?...
We unaona dhambi hata kuuliza tu why Pengo hajaitwa..huoni dhambi iwapo walioitwa hawana hatia?