Kwanini Makonda asifunguliwe kesi ya msingi Mahakamani?

Mkuu Tafadhali Naomba Unipe Hiko Kifungu Cha Sheria Kinampa Makonda Madaraka Kuita Watu Polisi Tafadhali!

Bila Shaka Kamanda Siro Anajua Sheria Inamtaka Afanye Nini Ikiwa Anamuhitaji Mbowe Kwa Mahojiano, Central Polisi.

Sina Shaka Kabisa Na Weledi Wa Kamanda Siro Kuwa Atatumia Utaratibu Maalum Uliopo Kumuita Mbowe

Lakini Kwa Nini Tusihoji Mahakamani Ni Kifungu Gani Kinachompa Mamlaka Paul Makonda?
Mbowe lazima afike polisi kwa amri ya makonda
 
Makonda hajakiuka sheria yoyote mpaka sasa.Nashangaa tu watu povu linawatoka.si nyie mliokuwa mnapiga kelele serikali ichukue hatua?kuitwa polisi sio kosa
Tusubiri kwani subira yavuta heri. Si nyie.......haya wakina nani hapa?
 
Back
Top Bottom