Kwanini Makamba alipewa mazingira na muungano

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
455
877
Wakuu
Kuna wanabodi wengi wanapendekeza January Makamba amfuate ndugu yake Nape, na wengine wakimuhusisha Mwigulu, swali la kujiuliza kwanini Hawa watatu wanawekwa sehemu moja.

Makamba ni moja ya wanasiasa waliokua wanapigiwa chapuo la uwaziri Mkuu lakini ghafla akapelekwa wizara ambayo unapita mwezi bila kumskia kwenye media yeyote, kwanini?

Kwanini Makamba aliingizwa kwenye 5 bora ya wagombea urais?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Makamba anaandaliwa 2025 baada Sizonje kumaliza kama afya itamruhusu kufika huko!! Inshallah!!! Pia namuona Mbarawa akiwa mgombea mwingine toka Zbar......zamu ya Zbar labda!! Atakuwa uzoefu mkubwa sanaa......wa Muungano
 
Back
Top Bottom