Kwanini makalio yao wanawake ndio kivutio zaid?

na wanawake nao wameshajua wanaume wengi wanapenda makalio basi wanavyoyabana ili yaonekane lkn mwisho wa cku wanaturahisishia uchagui kwa ss watumiaji wa makalio makubwa. ila raha ya makalio makubwa ni ku cammeron.

Mmmmh..so u mean kula uchochoro?? Kutibua kinyesi cha mwenzio..Looh!!!
 
Laiti ungalijuwa kuwa na wanawake wengi huvutiwa na makalio ya wanaume, ungeanza kutafuta "mchina". Binafsi huvutiwa sana na huyatamani makalio ya wanaume.
Da faiza unayatamani ya nini? nimecheka sana kwakweli nami mbavu zinauma sasa
 
Laiti ungalijuwa kuwa na wanawake wengi huvutiwa na makalio ya wanaume, ungeanza kutafuta "mchina". Binafsi huvutiwa sana na huyatamani makalio ya wanaume.
Mama yangu!!hi hatari sasa kah.!!mungu saidia
 
Mmmmh..so u mean kula uchochoro?? Kutibua kinyesi cha mwenzio..Looh!!!

Kuna baadhi ya wanaume ndio kazi yao. Wanapingiana mitaani kwamba lazima dame fulani nimtoe Kinyesi. Ukiingia kwenye anga zake, ujue kuwa wafanyakazi wa Hotel/guest watakuzuia ukafanye usafi na kufua mashuka:A S embarassed:
 
waswahili wanasema mwanamke figure jamani haswa figure itawaliwe na makalio ya size ya kati yasizidi sana na kusindikizawa na kiulo laini!
 
Kuna baadhi ya wanaume ndio kazi yao. Wanapingiana mitaani kwamba lazima dame fulani nimtoe Kinyesi. Ukiingia kwenye anga zake, ujue kuwa wafanyakazi wa Hotel/guest watakuzuia ukafanye usafi na kufua mashuka:A S embarassed:

Hahahhaaa...kuzuia lazima,kinyesi cha mtu mzima kinavyonuka!!! Nani ashike??!!.... Mwanaume anaependa kufumua marinda ya wenzake ni mkatili sana...uchochoro ni mdogo kwenda kulazimisha kitu kigumu kupita,lakini utakuta anaibembelezea ili akaweke heshima kijiweni....khaaaa!
 
naomba kufahamishwa kwa nn yanaitwa masaburi na wezere tafadhali!
 
Mwanamke sura,Makalio hata mchina katengeneza...!!

Umenyimwa nini?

Jamani kuna kijana siku moja nimemsikia, nikacheka kutwa nzima kila nikikumbuka huwa nacheka, kasema "mwanamke shuzi!", ikabidi nimuulize ana maana gani? akanambia "mijambo mama ndio muhimu, mwanamke bila mijambo huchosha", sasa hiyo mijambo? mtajza wenyewe. Asiyejuwa maana haambiwi maana.
 
Hahahhaha....hapana FF sijanyimwa my,namshukuru Mungu vichache alivyonijaalia vinaruhusu kutamba mtaani...MASHALLAH!

Nimeipenda hiyo (maandishi ya bluu)...ila sasa akipenda mijambo ajue kuvumilia na harufu inayotoka huko..maana ukubwa wa makalio nao una-comsume hewa nyingi chafu!
 
Siyo hiyo jamani, mijambo mingiiine kabisa, ndio maana nikasema "asiyejuwa maana haambiwi maana", yaani unayoijuwa ni hiyo tu, Unanchekesha!

Nyie watoto, msinisemeshe mengi.
 
Utamu uko siku zote kusikoruhusiwa, lakini tahadhari kuna wanawake nao siku hizi lazima wamgeuze mwanaume na kumnanihii kwa ulimi na vidole huko makalioni.
 
Si kwangu huku!
Nimepita tu!
 
Siyo hiyo jamani, mijambo mingiiine kabisa, ndio maana nikasema "asiyejuwa maana haambiwi maana", yaani unayoijuwa ni hiyo tu, Unanchekesha!

Nyie watoto, msinisemeshe mengi.

Kama sio hiyo basi nimechemka mwaya....naomba usimwage mchele penye kuku wengi!
 
Mtoa hoja apaswa kuwa makini. Siyo kila makario ya mwanamke ni kivutio. Sijui kama makario ya mama yake au dada yake hata shemeji yake ni kivutio. Tia akilini jamani. I am just a philosopher.

hajasema yanamvutia yeye,mkuu!(japo yule dogo wa zimbabwe alivutiwa na ya mama yake!(mungu apishe mbali!).ya mama yake,dada ke au shemeji kama ulivosema yanaweza kuwavutia wanaume wengine,na ndio anauliza kwanini.haramu kwako halali kwa mwenzako ,sheikh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…