Kwanini makaa ya mawe hayatumiki majumbani?

Kwanini makaa ya mawe hayatumiki majumbani?

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,725
Reaction score
6,580
Yale makaa ya mawe yanayochimbwa kule mkoani Ruvuma kwanini hayauzwi mtaani ili tuweze kupikia na kupunguza matumizi ya mkaa wa miti?
 
Dangote bado ajaleta machine za kuchimbua hayo mazaga
 
Yameshanza kuzoeleka kutumika, changamoto hizi sufuria za alminium dumu hazikawii kutoboka.
 
Bado hatuna ujuzi kamili wa kutengeneza sufuria zitakazo himili mikiki ya makaa ya mawe
 
Leta ushahidi hapa, isije ikawa porojo tu hapa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Serious nakuambia muuza chips wa hapa kwetu anatumia makaa ya mawe
 
Back
Top Bottom